baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Again someni na muache cheap politics aisee ambazo hazina maana.Baba Mwajuma,
1. Concept ya universe imekuwepo miaka 500 BCE.
Huko ugiriki, wakina Pythagoras na Anixamander walishazungumzia universe mamia ya Karne kabla kurani haijaandikwa.
Vilevile, wakati kurani inaandikwa, tuyari wakina Mt. Augustine na Boethius walikuwa wameshaandika kuhusu ulimwengu kama muunganiko wa dunia na mbingu (space).
Hivyo basi, mungu wa kurani hakusema chochote kipya kuhusu anga. Waandishi wa kurani walichukua tu ideas za anga zinazokubalika wakati huo.
2. Kuhusu universe kuexpand:
Kurani kudai Mungu anapanua anga haina mahusiano ya moja kwa moja na cosmic expansion inayozungumzwa kwenye contemporary science ambayo unajaribu kuhusisha hapa.
3. Kurani imeandika concept nyingi tu ambazo ni unscientific. (Labda enzi hizo zilidhaniwa kuwa sahihi)
Mfano:
- Jua kuzama matopeni
- Kuchukulia anga kama Mbingu. Tena mbingu saba. Where is mbingu in the universe?
- Kuchukulia Dunia kama tambarare inayoimarishwa na milima.
- Kudhani kwamba jua linatembea (lina-move)
- Kudhani kwamba viumbe vyote vipo viwiliviwili. Bacteria tu au amoeba wanaiprove kurani wrong.
- Na Kadhalika.
Hivyo basi, kurani haina maajabu yoyote ya kuifahamu science. Waliandika kwenye vitabu vyao kilichoaminika na wanasayansi na jamii ya enzi hizo tu.
Hapa imeelezewa vizuri soma
Does the Qur’an say the earth is flat? Islamic scholarship & the multiplicity of readings approach
This article addresses the question of whether the Qur'an says the world is flat. This question is answered in a comprehensive way by referring to classical Islamic scholarship, the Qur'an and applying the multiplicity of readings approach.
Scholars wa kiisilamu since karne za mwanzo wa naongelea Quran ipo round, ukumbuke Wakati huo Waroma waliamini Dunia ipo flat, na kuna Aya nyingi zinaongelea uduara wa Dunia, na sio Duara tu Uisilamu pia unaelezea hio shape kama yai,. Kwamba ni duara ila sio perfect sphere. Hii Pia inakinzana na hoja yako kwamba Eti Quran ilichukua hoja Zinazokubalika wakati huo, Roman walikua super power na wengi waliwafuata blindly, Quran ikaenda against vitu ambavyo mpaka leo ni kweli.
Na kwanini Quran kuongelea ku expand Anga haina mahusiano na ku expand Anga hii hoja gani unatoa hapa?
According to Quran universe Zote duniani zipo ndani ya Mbingu ya kwanza, na kuna Mbingu 7, Mbingu then kuna Arsh na Quds, size difference between Arsh na Mbingu 7 ni kama tone La maji na Bahari, so so far Sayansi haija disprove chochote ilichosema Quran bali ina discover taratibu hizo claim kila siku.
Pia haijaanza leo Quran utofautiana na sayansi Na watu kuidhihaki Quran mpaka pale sayansi inapo advance na kukubali ana na Quran,