Je, Wairish, wasudanese, wakongo wamekwenda kuuwa waislamu kama waislamu wanavyo target non-muslim?Ireland ya kaskazini,miaka 40,vita mfululizoView attachment 496539View attachment 496540View attachment 496541View attachment 496542
Kwa hiyo wanaojitoaga muhanga si warabu.Warabu hawauani ila wanachonganishwa.
umenena ukweli , ila majibu yako yatasababisha post ifungwe, napita tu.Hii dini ya kiislam inakasoro nying sana sema wengi wao hawajui wengi wanasema uislam ni amani lakn si kweli wanalazmisha watu kusilim wanapenda ugomvi sana kuua watu kwao ni ruksa hawajui msamaha kwao kisasi ni kinaruhusiwa na ukibadli dini adhabu yake ni kifo unafikiri kwa mambo yote haya nchi zenye uislam kutakua na amani kweli
Mwarabu anafuata waliyotanguliza kuuwana akina King George na babaenu Hitler !!
wakimaliza waarabu watafuta wengine bara jeusi na bara la njano !! hakunakuchomoka chamoto chaja chaja tu...
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya magharibi wakifanya mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wazungu imma katika ardhi yao au wakiwa popote duniani, makundi haya ya kiarabu hujitokeza na kutangaza hadharani kuwa yamehusika kutekeleza uhalifu huo.
ajabu sasa inakuja pale makundi haya haya ya kiarabu yanapofanya uhalifu uleule au uliopitiliza katika nchi zao zilezile za kiarabu dhidi ya raia wenzao kabisa wa kiarabu.
sikiliza habari mara nyingi tu utasikia bomu limeripuka pakistani, au afghanistani au iraq au syria popote lakini wahusika na wahanga wakubwa wa matukio haya ni waarabu wenyewe katika ardhi za babu zao wenyewe.
swali ni je, kwa nini waarabu wanauana wao kwa wao namna hii?
Usipende kuambiwa mzee sana uwe unahakiki habari,hilo mosi.Pili hivi unaijua falsafa kweli ? Hakuna elimu iliyo bora na kumfanya mtu kuwa makini kuliko elimu ya dini.Mkuu, wanakuambia duniani binadamu wenye highque ndogo akitoka muafrika anaingia muarabu,hawa watu ambao wamekosa elimu ya falsafa!! Wana elimu ya dini tu
Najua huwezi kutoa ushahidi wa kielimu juu ya haya uyasemayo.JIHAD kwetu sisi waislamu ni ibada kama ilivyo,ibada huwa ina masharti na ina nguzo mzee.Huwezi kupigana JIHAD bila bila kuzingatia masharti na nguzo.Sikweli kama wanachonganishwa. Nature yao, kumbuka hata dini yao ilienezwa kwa vita"JIHAD" walichonganishwa na nani wakati ule? Apengine ni ukatili wa kuzaliwa kizazi chao. La maana ni kuwa kuuana kwao kuna faida sana kwa mataifa mengine.
Uislamu sio tatizo wala haukuwahi kuwa tatizo na hautokuwa tatizo bali ndio utatuzi wa majambo katika uso huu wa dunia.Maneno yanaonyesha wazi ni jinsi gani ulivyo mweupe juu ya uislamu yaani huujui uislamu.Dini ya Uislam ndio tatizo.Kipo kitu nyuma ya pazia ambacho hata wao wenyewe inawezekana hawakijui.Ngoja niishie hapo nisije nikasingiziwa islamophobia bure.
Natamani sana ungeongea kielimu,ila unaongea kama yule aliyekata tamaa na kesho wakati kesho ya haijui...Laana ya damu walomwaga wakati wa kueneza dini yao,
Hakuna kuchonganishwa wala nini, ni laana imefanya wawe na miroho mibayaaaa,
Km sababu ni kuchonganishwa basi hakuna kiumbe mjinga km wao maana hata kuku ukiwachonganisha wakapigana sana bila suruhu huamua kukimbia kila mmoja kivyake,sasa km kuku wanaweza kuepuka kuchonganishwa inakuaje wao karne na karne wanachonganishwa na kuuana bila kustuka,
Hawa watu wanaroho mbaya,
Hakuna jihad nafsi wacha uwongo! Jihad ni vita dhidi ya makafiri au wasioamini.Najua huwezi kutoa ushahidi wa kielimu juu ya haya uyasemayo.JIHAD kwetu sisi waislamu ni ibada kama ilivyo,ibada huwa ina masharti na ina nguzo mzee.Huwezi kupigana JIHAD bila bila kuzingatia masharti na nguzo.
JIHAD ni tamko la kiarabu lanye maana ya juhudi kilugha na ibada kisheria.Jihadi imegawanyika takribani vipengele vinne kama alivyosema Imaam Ibn Qayyim al Jawz Allah amrehemu.
1.Kuna jihad nafsi hii ni kuipigania nafsi yako isitende maovu na hii ndio jihad kubwa kuliko zote.
2.Kujihadi ya kupambana na shetani,hii vita kati yako na shetani yaani kumpiga vita shetani asikushawawishi na kutenda maovu na kuacha dini ya Allah.
3.Jihadi ya kupambana na makafiri wale waliokufuru na waharibifu
4.Jihadi ya vita hii imegawanyika sehemu mbili jihadi kwa ajili ya kujilinda na uvamizi wa adui na jihadi ya kumvamia adui yako,jihadi hizi hazifanyiki mpaka zikidhi masharti.
Mengi tunayoyasikia juu ya uislamu zama hizi hasa ya hawa bokoharamu,alqaeda na mfano wao ni fitna zilizoambatana na ujinga.Na wanazuoni wa haki huwakanya wafanyavyo hivyo lakini hawasikii.Katika uislamu ni haramu kujitoa muhanga,haramu kufanya migomo,haramu kuandamana.Ukweli huu wengi hawaujui isipokuwa wale wachache waliorehemewa na Mola mlezi.
Hakuna jihad nafsi wacha uwongo! Jihad ni vita dhidi ya makafiri au wasioamini.
Elimu ni tatizo kubwa sana linalotusibu waislamu...Rudi darasani mzee...Nawajua sana mfano wako,kumbe bado mpo...Hakuna jihad nafsi wacha uwongo! Jihad ni vita dhidi ya makafiri au wasioamini.
Unaandika upuuzi. Wanauana ni waarabu kwa tofauti zao za kisiasa hapo una unganisha na uislamu kwa njia gani? Je waliouna hapi Rwanda na ndani ya makanisa utaunganisha na ukiristo ni tofauti za kikabila? Hitler alipowauwa wayahudi milioni kwa kifupi tu. je? Yeye si alikuwa mkiristo? Wamerekani na waingereza vita kuu ya pili ni waislamu? Sio mnaandika tu ilikukosoa dini wakati ni siasa tu. Sote ni wanadamu tunahitaji kuishi na kama wewe unamuamini Mungu unatakiwa uwaombee hayo mauaji yakome. Sio kufurahia eti ni waarabu waislamu utakuwa umekosa utu. Na tuombe na Mungu aepushe mbali hayo yasitokee kwetu na kwa wenzetu pia. Udini si mzuri na hapa kwetu unaanza taratibu. Tupendane na kuheshimianaHii dini ya kiislam inakasoro nying sana sema wengi wao hawajui wengi wanasema uislam ni amani lakn si kweli wanalazmisha watu kusilim wanapenda ugomvi sana kuua watu kwao ni ruksa hawajui msamaha kwao kisasi ni kinaruhusiwa na ukibadli dini adhabu yake ni kifo unafikiri kwa mambo yote haya nchi zenye uislam kutakua na amani kweli
Usifananishe mauaji ya kisiasa na ya kidini hayo ya rwanda ni ukabla na hitler ni chuki zake binafsi juu ya wayahudi hakuwa anasimamia biblia kuua tofaut na vikundi vya kiislam wanasimamia quran kuua na kutoa adhabuUnaandika upuuzi. Wanauana ni waarabu kwa tofauti zao za kisiasa hapo una unganisha na uislamu kwa njia gani? Je waliouna hapi Rwanda na ndani ya makanisa utaunganisha na ukiristo ni tofauti za kikabila? Hitler alipowauwa wayahudi milioni kwa kifupi tu. je? Yeye si alikuwa mkiristo? Wamerekani na waingereza vita kuu ya pili ni waislamu? Sio mnaandika tu ilikukosoa dini wakati ni siasa tu. Sote ni wanadamu tunahitaji kuishi na kama wewe unamuamini Mungu unatakiwa uwaombee hayo mauaji yakome. Sio kufurahia eti ni waarabu waislamu utakuwa umekosa utu. Na tuombe na Mungu aepushe mbali hayo yasitokee kwetu na kwa wenzetu pia. Udini si mzuri na hapa kwetu unaanza taratibu. Tupendane na kuheshimiana
Mbona kwa mauaji au vita vya waarabu mnafananisha na udini? Ila mauaji ya kutisha ya rwanda na muda mfupi tu wa miezi 3 waty karibu milioni 1 waliuawa na baya zaidi ni makanisani. Hakuna hata maiti moja ilikutwa msikitini lakini kwa sababub vyombo habari vya mabwana zetu wanatueleza hivyo.Usifananishe mauaji ya kisiasa na ya kidini hayo ya rwanda ni ukabla na hitler ni chuki zake binafsi juu ya wayahudi hakuwa anasimamia biblia kuua tofaut na vikundi vya kiislam wanasimamia quran kuua na kutoa adhabu
Tunafananisha na udin coz vikund hvyo vya kigain ndo vnashambulia tena wenzao i dont know why na nchi za kiarabu zenye washika dini nyingi hazna amani kuhsu rwanda mauaj yalifanyika zaid makanisan coz weng walikimbilia uko waas wakapata nafas nzur kuwaua mbona hyo iko waz bt hakuna mkristo anaua kulingana na biblia tofaut na nyieMbona kwa mauaji au vita vya waarabu mnafananisha na udini? Ila mauaji ya kutisha ya rwanda na muda mfupi tu wa miezi 3 waty karibu milioni 1 waliuawa na baya zaidi ni makanisani. Hakuna hata maiti moja ilikutwa msikitini lakini kwa sababub vyombo habari vya mabwana zetu wanatueleza hivyo.