Mada yetu iko ngaz ya makundi mbal8mbali ya jamii, hoja yako inaweza kuelezea ngazi ya mtu mmoja mmoja. Asha kum si matusi mkuu ila TumekuachaKama huna malengo na hesabu za mbali wewe sio mpambanaji bali unajaribu tu
Tumekwambia subiri, kila kitu hatua..!!Serikalini wakinga wamefeli, wamepitwa Hadi na wasukuma na wapemba
It make sense, mana haya maendeleo ni product ya ukoloni. Na mkolon aliacha ovyo maeneo yote ambayo hakupokelew ka mikono miwili. Ukanda ule ambao ulimkataa kwa nvuvu mpaka uliitisha vita ya Majimaji ndo ukadidimia kabisa.
wachaga walikuwa wanabebana mno kwasababu ni kwamba wanaukabila mno ndiko mahala pekee unaenda halafu unaulizwa wewe ni kabila ganiHao wachaga wanaobeba mpaka shemeji sisi wachaga pia tunawasikia humu humu jf
Hatuwezi kukuita mpambanaji na hatuoni matokeo wewe bado unajaribu iko hivyo take it or leave itMada yetu iko ngaz ya makundi mbal8mbali ya jamii, hoja yako inaweza kuelezea ngazi ya mtu mmoja mmoja. Asha kum si matusi mkuu ila Tumekuacha
Hapa unamsimulia mchaga kuhusu tabia a uchaga , hivi wewe una akili kweli?wachaga walikuwa wanabebana mno kwasababu ni kwamba wanaukabila mno ndiko mahala pekee unaenda halafu unaulizwa wewe ni kabila gani
Nina akili sana ndio maana ni ngumu wewe kunielewa kwasababu najua wewe ni mchaga mabingwa wa dhulmaHapa unamsimulia mchaga kuhusu tabia a uchaga , hivi wewe una akili kweli?
Fanya mimi hapa nataka kukutapeli wewe unahisi mimi naweza kukutapeli kwa kipi ulicho nacho sasa?Nina akili sana ndio maana ni ngumu wewe kunielewa kwasababu najua wewe ni mchaga mabingwa wa dhulma
Wachaga ni wezi sana na mbele ya pesa usiwaamini kabisa rejea kwa bwana mbowe ...Angalia saivi vijana wa arusha wanavyovuliwa ubingwa kisa pesatujaribu raisi mchaga
Unaelewa maana ya dhulma?Fanya mimi hapa nataka kukutapeli wewe unahisi mimi naweza kukutapeli kwa kipi ulicho nacho sasa?
Toa mfano yakiniUnaelewa maana ya dhulma?
NimekuulizaToa mfano yakini
Wasukuma nyi hampendani.Sijui kwanini Wasukuma tunashindwa kufanya hivi
Hizi akili za kuringia mafanikio ya watu wengine ni za kishamba sana. Unatakiwa ukue sasa.1. Wachaga bado watayakalia makabila mengine kwa akili na udhubutu siku zote ndo wako hivyo sasa wewe utawafanyaje je waweza kuwabadilisha? Shirika la ndege tu Tz baada ya AiR Tz ni Precision Air ya Shirima wa Rombo je unajue bei ya kununua ndege moja to wewe Mkwere unaecheza ngoma kila siku kuwa ni shilingi bilioni mia? Mkwere au Mzaramo anapata wapi shilingi bilioni mia kununua ndege? na Precision Air wana ndege nyingi sana je unajua huu ni ukwasi mkubwa sana?
2. Nimeongelea tu shirika moja la ndege sijaongelea uwekezaji mkubwa mwingine
maeneo mengine!
3. Kama unaweza kaa na hawa watu kwa ukaribu.. au kaa tu kimya
It make sense, mana haya maendeleo ni product ya ukoloni. Na mkolon aliacha ovyo maeneo yote ambayo hakupokelew ka mikono miwili. Ukanda ule ambao ulimkataa kwa nvuvu mpaka uliitisha vita ya Majimaji ndo ukadidimia kabisa.
Maendeleo ya miji Afrika yote hii ilikuwa ni mipango na vipaumbele vya kikoloni, na haikukua kwa sababu nyingine yoyote ispokuwa Utawala. Na mji kuendelea haikuwa na maana yyoyote ya wenye mji ule kuendelea.sidhani kama ni sawa, ni swala la timing tu, klm ndiyo waliokuwa mwanzoni kabisa na kama muda ungeruhusu nchi nzima ingefikiwa btw hata kagera pia walikuwa wako vizuri sana kielimu mpaka miaka ya hivi karibuni ambapo mkoa wa kgr ndiyo umeharibiwa, mbeya pia walikuwa na wasomi wazuri sana tu na southern highlands kwa ujumla, wako vizuri ila klm ndiko wamisionari walikotia timu mwanzoni kabisa hata reli ya kwanza kabisa nchini iliyounganisha bandari ya tanga na klm ilijengwa miaka ya 1890 kabla ya reli ya kati iliyokuja baadaye kuunganisha bandari ya dar na interior i.e tabora mpaka kgm na ukanda wote wa kati, hivyo utaona klm ilifunguliwa mwanzoni zaidi klk sehemu nyingine.
plus kwa waingereza baada ya wajerumani kuondoka mji wao pendwa ulikuwa ni arusha na siyo dar hata documents za uhuru zilisainiwa arusha na ndiyo mwanzo wa arusha kuwa diplomatic city "geneva of afrika" ingawaje sasa hivi wameua arusha, kifo cha arusha kilianzia awamu ya 4 baada ya kuamua kujenga ukumbi wa mikutano wa kimataifa dar (stupid idea) na kuleta competetion kwa arusha ambapo tayari kulikuwa aicc , na hii regime inaizika kabisa the old glory of arusha ...
Hizo takwimu za wakinga ume zitoa wapi?Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati.
Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri mkuu, mchaga katibu mkuu Kiongozi, ila licha ya hivyo kwakweli wameenea Kila sekta, Kila mahali, japo ni kabila lisilo na watu wengi, jingine ni kabila la wahaya Kila Kona .
Sasa ndugu zangu wakinga wao Huko serikalini sio wengi, ila ndo wanamiliki sehemu kubwa ya kariakoo pamoja na wahindi na waarabu, kiujumla matabaka haya yanamiliki 85% ya majengo ya kariakoo