Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

wachaga ambao wanaojiona so special ni wajinga wajinga wa kwenye social media hawana mbele wala nyuma ,wachaga wenye hela na investment nyingi are so humble hawana mbamba nyingi na wanachangamana na watu bia kuleta minato.
 
Hakuna anayemuogopa MPARE Sana Sana na wanaonaga NI watu wa ajabu ajabu tu
 
Tz hii watu wanaogopwa ni wa kanda ya ziwa pekee..nyie wengine mnajifariji tu,walau kidogo watu wa mbeya waongee
Acheni sifa za kijinga, waogopewe Nini. Shida JF imevamiwa na vitoto Vingi vilivyosoma shule za kata. Kuna mtu mwenye akili anawaza ukabila au ukanda? Jadilini Mambo ya maana
 
Wapare hawana nasaba na wachaga. Wachaga walikuwa jamii ndogo sana very inferior na hiyo inawasumbua mpk leo. Wakati wa ukoloni wapare walikuwa na wilaya yao iliitwa Pare District ndani ya Jimbo la kaskazini mashariki baadaye likaitwa Tanga. Wachaga walikuwa ndani ya wilaya ya Arusha iliyokuwa ndani ya Jimbo la kaskazini. Wachaga hawawezi kuwadharau wapare, wapare siyo watu wa kujisifu wao wanaofanana na wahaya, wanapenda an sifa kwa vt vidogo sababu ni ya kihostoria. Walikuwa jamii duni sn isiyokuwa na rasilimali yyte. Hicho kitu kinawatesa sana mpk leo.
 
Case closed. Ulichokiandika Ni ukweli 100000%.
Wachaga Ni watu wa figisu. Anakufanyia figisu ili yeye awe juu yako kimaslahi/Kimaendeleo
 
Lakini mara nyingi Wapare ndio wana shobo na wachagga.

Na unaposema wapare walikuwa walikuwa na wilaya yao, nini kilifanya wakae huko juu milima ya Usangi na Ugweno
 
Kuzungumzia mambo ya ukabila ni ushamba , yaani kama mimi naona kama sielewi kabisa unaongelea ujinga gani? Wewe ishi tu kupenda makundi na mkumbo ni ujinga , kabil halikupi chochote kwanza asili inapotea mnabaki ujinga tu .

Mtu anajisifu na kabila wakati kwao anaenda kwa mwaka mara moja , ishi kwenu kama unapenda kabila lako sio kwenda mikoa ya watu , unakuwa mnafiki ukae mkoani miezi 11 halafu uende kwenu mwezi 1 then mkienda mnapigia watu kelele kwamba ni tamaduni yenu😀😀😀

Siangalii kabila mtu akiongea kilugha nakaa nae mbali kabisa , namuona primitive kabisa ...Nashukuru mzee watu hakutaka kutuhusisha na mambo ya makabila mpaka leo.
 
mchaga kajaa ukabila mfano zaidi ya 50% ya daladala za hapa mjini zinamilikiwa na wachaga, na madereva wanaoziendesha ni wachaga huez kuta mchaga kamkabidhi gari yake mmatumbi hata sku moja.

Huenda sababu wengine hawana commitment ya kazi.
Hivi unajua kuna makabila ya uvivu wakilipwa Hela mwisho wa mwezi hutamuona kuja kazini hadi mshahara utakapoisha ?!
Unajua ni Kwanini wafanyakazi wengi wa baa na hotel n.k Dodoma wengi ni wageni na sio wenyeji ?
Waswahili kazi ngumu hawaziwezi.
Asili yao ni uvivu.
Halafu mnawahusudu wanajituma na kufanya kazi ngumu badała ya kujifunza kutoka kwao.
Mchaga huwa ni kwanza kuamka na wa mwisho kulala.
Mswahili je ?? ! 🤔🤔🤔
 
Eti wachaga ni washirikina kwenye biashara 🤣🤣🤣
Tangu lini ?
Labda siwezi kuwakatalia lakini kuna maswali ya kujiuliza.
Maana Kabila namba moja nchini lisilo na ushirikina na uchawi ni wachaga.
Je unawalinganisha na Kabila gani ambalo Halina ushirikina bongo ?!
Katika Tanzania jamii ya uchagani ndiko pekee ambako unaweza kwenda ukatauliziabau kutafuta Mganga wa kienyeji usimpate hata mmoja.
Na hiyo ndio Siri Mojawapo ya mafanikio yao.
Jamii ambayo mkazo ni elimu tangu Uhuru .
Jamii ambayo inaamini katika kufanya kazi kwa bidii hata kama uko shambani au nyumbani hakuna kulała au kupiga umbea ni kazi tu.
 
Off course baada ya kusakamwa kwao awamu ilopita nilifuatilia kutaka kujua iwapo hayo madai yana ukweli fulani ?!
Nikajakuona kwa sehemu fulani huenda yana ukweli asilimia fulani labda.
Lakini makabila mengine yenye upendeleo wa kikabila ni pamoja na hao wapare, wahaya , Iringa/Njombe wahehe/Wabena hayo makabila yanaongoza kwa kupendeleana mahala pa kazi kwa waziwazi tena bila aibu 🤔🤔🤔🤔
Actually ni tabia ambayo ipo kinyume na maadili.
Ni ubaguzi mbaya sana.
Wengine wanaingiza watoto wao na wakwe kwenye taasisi utasema ni zao binafsi ??! 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…