Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

JF haiwezi kumaliza mwezi hakuna uzi kumjadili Mchagga! 😁
 
Hii ni kweli.
 
Uko sahihi.
 
Kwa uchawi wachaga wameonewa.

lkn kama ni kwa sababu ya kupata pesa au kulinda pesa, Kwenda kwa waganga sio issue na huu hatuwezi sema ni uchawi
 
Piganeni tuu maake hampo serious kila kabila linajua kufanya kazi na kila kitu Cha maendeleo tofauti zinakuwa ndogo ndogo kati ya jamii hii na jamii nyingine!!

Ngoja ninywe mbege hapa mbezi msakuzi 🍺
 
Sio kuwachafua Mwalimu alikuwa very brilliant kichwani alitazama mbali
Hakuna cha kuwa-briliant wala nini aliogopa ushindani tu kabla ya uhuru watu wengi wa kaskazini walipewa scholarship za kwenda kusoma ulaya na marekani

Nyerere hakutaka kuzungukwa na watu waliosoma bali watu wa ndio mzee ndo maana kambona alivyo-mchallenge akamfurusha
 
Mkuu hembu ifafanue hii ya umalaya wa ndugu kwa ndugu tupate uelewa kidogo
 
Mkuu hembu ifafanue hii ya umalaya wa ndugu kwa ndugu tupate uelewa kidogo
Uzoefu wangu unaonyesha kuwa hawa jamaa huchukuana ndugu kwa ndugu au watu wa makabila yao. Wachunguze wale wanaoitwa anko utagundua mengi yaliyojificha usojua mwanangu.
 
Hakuna anaetuogopa wachaga zaidi zaidi sana tunachukiwa na kuonekana hatufai wachawi basi
 
mimi zaman nilikuwa na mawazo kama yako kwa sababu nilizaliwa kwenye mazingira yanayoaminisha hivyo. ila nilipoenda kusini nikakutana na wakinga, nilijicheka sana kuona nilifumbwa macho.
Mimi walichonifanyia hao ndugu sidhani kama nitasahau maisha yangu yote...Ni wakabila sana, baadhi siyo wakabila lakini wengi ndivyo walivyo. Kisha wabinafsi sana...Hadi nilitamami damu kidogo niliyonayo ya kichagga niitoe niimwage Kwa jinsi walivyo na roho mbaya hao baadhi Yao. They can even kill wanapotaka kitu Cha thamani ambacho wanadhani wao Wana haki zaidi ya wengine....You have to be very very careful interacting with these
 
Cha ajabu nimesoma uzi wote 98% wanaozungumziwa ni wachaga

Kusema kuogopwa umekosea labda useme impact

wapare hata mimi sijaona impact yao.

Shuleni nimesoma na wapare uwezo ni wa kawaida, vinara wa biashara wanaojulikana ni wachaga, wapemba, wakinga na waha wanafuata wengine, sina maana ya kubeza wapare ila ni level za kawaida.

Kisaikolojia utakuwa umefosi kuwaweka wapare sababu wewe ni mpare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…