ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi wameambulia kibuti, na tatizo linakuwa kubwa unapokuwa mfupi halaf mnene , utachakaa.
Tatizo hili limesababisha wanaume wafupi na wale wanene wawe wanachelewa kuoa, kwakuwa huwa wanakutana na vikwazo vingi sana kwenye kutafuta wanawake.
Pia kama kawaida kwa Binadamu kuna ka upekee kwa watu hawa, hasa wale wachache ambao ni matajiri na wana pesa nyingi, wenye status kubwa, MaStaa, watoto wa wakubwa, Viongozi wa serikali watu wa jamii hii ambao ni wafupi ama wanene sana huwa wanapata wanawake kwa uraisi tu bila kupata shida kutokana na hadhi yao.
Wanawake wamekuwa na sababu zisizo eleweka kwa nini hawawataki watu hawa , baadhi ya sababu ni
1. Hawatapendezana wakiwa wanatoka out, ama kuongozana barabarani
2. Akiangalia rafiki zake wote wana wanaume warufu na wembamba hivyo wanaogopwa kusemwa
3. Wanadai hawataki kuzaa watoto wafupi kama baba yao
4. Wengine wanaamini watu hawa ni wakorofi na wabishi
Hivyo nawaasa Watanzania na binadamu wote duniani hasa wanawake waache huu uduwanzi wa kureject wanaume wafupi na wanene