Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitambi na viheshimiwe🤣Kuota kitambi kikubwa kama mlima ndio raha?
Wanawake wote peponi🤣🤣🤣Shida tukioa tu wengi tunakuwa vibonge 😂
Mnatuua kwa dipresheniiiiiiiWanawake wote peponi🤣🤣🤣
Sipendi kitambiVitambi na viheshimiwe🤣
Inatakiwa kuandaliwa na sheria ya kuwalinda watu wafupi maaana imekuwa bilio kila uoandeKwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi wameambulia kibuti, na tatizo linakuwa kubwa unapokuwa mfupi halaf mnene , utachakaa.
Tatizo hili limesababisha wanaume wafupi na wale wanene wawe wanachelewa kuoa, kwakuwa huwa wanakutana na vikwazo vingi sana kwenye kutafuta wanawake.
Pia kama kawaida kwa Binadamu kuna ka upekee kwa watu hawa, hasa wale wachache ambao ni matajiri na wana pesa nyingi, wenye status kubwa, MaStaa, watoto wa wakubwa, Viongozi wa serikali watu wa jamii hii ambao ni wafupi ama wanene sana huwa wanapata wanawake kwa uraisi tu bila kupata shida kutokana na hadhi yao.
Wanawake wamekuwa na sababu zisizo eleweka kwa nini hawawataki watu hawa , baadhi ya sababu ni
1. Hawatapendezana wakiwa wanatoka out, ama kuongozana barabarani
2. Akiangalia rafiki zake wote wana wanaume warufu na wembamba hivyo wanaogopwa kusemwa
3. Wanadai hawataki kuzaa watoto wafupi kama baba yao
4. Wengine wanaamini watu hawa ni wakorofi na wabishi
Hivyo nawaasa Watanzania na binadamu wote duniani hasa wanawake waache huu uduwanzi wa kureject wanaume wafupi na wanene
Aaah wapi, malaika sie.Mnatuua kwa dipresheniiiiiii
Maaaaalaaaaaaiiiiiiiiiiikaaaa😐Aaah wapi, malaika sie.
Sasa hutaki?Maaaaalaaaaaaiiiiiiiiiiikaaaa😐
Sitak, we malaika gani?Sasa hutaki?
Nilitaka ku LIKE nimeogopa kukamtwa. Hivi na wanawake wafupi vibonge nani anawatoa bikra?WAnaume wote wafupi,weusi na wenywme vitambi wauwae hakuna namna wanatuharibia kizazi.
Malaika wa baraka.Sitak, we malaika gani?
Mradi awe anapumua sio!!Kuna point ikifika huwa looks sio ishu kwa mwanamke anakuwa hana soko yeyote anapiga tu.
Mbona wapo wengi tu tena wengi ni wapambanaji sanasanaWewe uliona wapi mwanaume mwenye pesa akawa mfupi!! Kwanza muwatake radhi🤣
Macho yako yatakuwa yana shida mahali.Mbona wapo wengi tu tena wengi ni wapambanaji sanasana
Labda wa baraka mpenja au baraka the prince.Malaika wa baraka.
Eeh mradi anapumua tuMradi awe anapumua sio!!
Hizo ni dipresheni zako tu🤣🤣Labda wa baraka mpenja au baraka the prince.