Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

Hiyo facta ilikuwa miaka ya 90's huko...siku hz kikubwa kinachoangaliwa ni uwezo wa kiuchumi...hakuna binadam anapenda maisha magumu mkuu!!
Yaani demu amkubali mwanaume kwasabb ya urefu pekeyake?? Dunia ya leo?!.
Nalo neno
 
Kuna manzi ilinishobokea kinoma ikanitongoza yenyewe kwa sms.kimo changu ni futi 5.8,wakati huohuo mshikaji wangu ni tall man halafu mbavu yani mzee wa tizi,pia mwana alikua na pay kunizidi.Kwanini demu alinikubali mimi na hakumshobokea mwana mwenye vigezo hivyo.Demu mwenyewe ni knife hatari
kibongo bongo wewe sio anduje, muangalie joti
 
Hiyo facta ilikuwa miaka ya 90's huko...siku hz kikubwa kinachoangaliwa ni uwezo wa kiuchumi...hakuna binadam anapenda maisha magumu mkuu!!
Yaani demu amkubali mwanaume kwasabb ya urefu pekeyake?? Dunia ya leo?!.
nimesema hapo kuna exeption kwa watu maarufu, viongozi na matajiri
 
Kwa hiyo title Yako hivi kweli hujui sababu....!?

Ama ulitaka tu namna ya kueleza Story mingi ambazo sijapata nafasi ya kuisoma...!
 
Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi wameambulia kibuti, na tatizo linakuwa kubwa unapokuwa mfupi halaf mnene , utachakaa.

Tatizo hili limesababisha wanaume wafupi na wale wanene wawe wanachelewa kuoa, kwakuwa huwa wanakutana na vikwazo vingi sana kwenye kutafuta wanawake.

Pia kama kawaida kwa Binadamu kuna ka upekee kwa watu hawa, hasa wale wachache ambao ni matajiri na wana pesa nyingi, wenye status kubwa, MaStaa, watoto wa wakubwa, Viongozi wa serikali watu wa jamii hii ambao ni wafupi ama wanene sana huwa wanapata wanawake kwa uraisi tu bila kupata shida kutokana na hadhi yao.

Wanawake wamekuwa na sababu zisizo eleweka kwa nini hawawataki watu hawa , baadhi ya sababu ni
1. Hawatapendezana wakiwa wanatoka out, ama kuongozana barabarani
2. Akiangalia rafiki zake wote wana wanaume warufu na wembamba hivyo wanaogopwa kusemwa
3. Wanadai hawataki kuzaa watoto wafupi kama baba yao
4. Wengine wanaamini watu hawa ni wakorofi na wabishi

Hivyo nawaasa Watanzania na binadamu wote duniani hasa wanawake waache huu uduwanzi wa kureject wanaume wafupi na wanene
Ila M23 wahuni kweli. Wanapigana na MUNUSCO, FRDSEE, SADC na bado wanateka miji kibao
 
Kwa hiyo title Yako hivi kweli hujui sababu....!?

Ama ulitaka tu namna ya kueleza Story mingi ambazo sijapata nafasi ya kuisoma...!
duh we kiboko, Sasa magazeti unasomaga, au we unasoma udaku tu wa maimartha na mange
 
Kwakweli kuna msiba mkubwa sana kwa watu wafupi na wale wanene, watu hawa hasa wenye kipato cha kawaida ama kipato kidogo wamekuwa wakipata wakati mgumu sana kupata rafiki wa kike, yaani wanawake wengi wamekuwa wakitongozwa na hata ikitokea nafasi ya kuolewa na watu wafupi ama wanene wengi wameambulia kibuti, na tatizo linakuwa kubwa unapokuwa mfupi halaf mnene , utachakaa.

Tatizo hili limesababisha wanaume wafupi na wale wanene wawe wanachelewa kuoa, kwakuwa huwa wanakutana na vikwazo vingi sana kwenye kutafuta wanawake.

Pia kama kawaida kwa Binadamu kuna ka upekee kwa watu hawa, hasa wale wachache ambao ni matajiri na wana pesa nyingi, wenye status kubwa, MaStaa, watoto wa wakubwa, Viongozi wa serikali watu wa jamii hii ambao ni wafupi ama wanene sana huwa wanapata wanawake kwa uraisi tu bila kupata shida kutokana na hadhi yao.

Wanawake wamekuwa na sababu zisizo eleweka kwa nini hawawataki watu hawa , baadhi ya sababu ni
1. Hawatapendezana wakiwa wanatoka out, ama kuongozana barabarani
2. Akiangalia rafiki zake wote wana wanaume warufu na wembamba hivyo wanaogopwa kusemwa
3. Wanadai hawataki kuzaa watoto wafupi kama baba yao
4. Wengine wanaamini watu hawa ni wakorofi na wabishi

Hivyo nawaasa Watanzania na binadamu wote duniani hasa wanawake waache huu uduwanzi wa kureject wanaume wafupi na wanene
Bila kutusahau sisi weusi wenye ugly face 😈
 
Huo ni mtazamo wako kama wew mfup kibinge tafuta ela mengine yatajileta tuuh
Sio kulialia na mapenz Kuna pesa maelezo
 
Kwasababu sisi wanaume warefu huwa tunaweza kumpiga busu demu wa mtu mfupi mbele yake
 
Back
Top Bottom