joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama we ni mfupi , changia hojaYou sound homo
Lil man
Huu uchunguzi wako umefanyia wapi tunaomba nyaraka tafadhali
Ngoja waje Evelyn Salt shindikanaa
😂😂😂😂 😂😂😂😂😂Wewe uliona wapi mwanaume mwenye pesa akawa mfupi!! Kwanza muwatake radhi🤣
Wawaache tall and handsme hao jamani. Wasiguswe hata na Jumuhuri🤣🤣🤣😂😂😂😂 😂😂😂😂😂
Nasoma Magazeti Kila siku, nasoma Vitabu, tena nikikuta Kitabu kizuri hafu kina page nyingi ukubwa Kama wa Biblia, Ndo hunitoi...napenda Documentaries ndefu...!duh we kiboko, Sasa magazeti unasomaga, au we unasoma udaku tu wa maimartha na mange
Wakiwa nazo ni pyuuuuuWawaache tall and handsme hao jamani. Wasiguswe hata na Jumuhuri🤣🤣🤣
Bora wewe umetupa nguvu kidogo ila inone tu wallet sio, ujue ukikohoa tu nakupa tembo wawili ujifute nao 🤣🤣
Hapana sikubalian na hiloJinsi gani ndoa ilivyo tamu au sio mkuu
🤣🤣🤣🤣
Hizo ni dipresheni🤣🤣Hapana sikubalian na hilo
Kuota kitambi kikubwa kama mlima ndio raha?Hizo ni dipresheni🤣🤣