Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

Inatakiwa kuandaliwa na sheria ya kuwalinda watu wafupi maaana imekuwa bilio kila uoande
 
Shida ingekuwa wadada ndio wanachumbia, kwavile wanaume ndio wachumbiaji basi wao wanaamua nani mamchukue.
 
Kila mwanamke ana kinachomvutia kwa mwanaume, urefu au ufupi sio ishu sana na wanawake wenye tabia za kuangalia mionekano wengi wako kwenye foolish age (14-24) japo wengine hii haiwatokagi hadi wanazeeka almost 40 years. Mwanamke akishakomaa huwa haangalii looks zaidi anaangalia mwanaume ana uimara kiasi gani katika kukabiliana na majukumu yake.

Ndio maana working class ya wanaume ndio wana chance kubwa ya kuwa laid. Tofauti na watoto ambao bado wanasoma na ni wategemezi.Kuna point ikifika huwa looks sio ishu kwa mwanamke anakuwa hana soko yeyote anapiga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…