Kwanini wadada Wanawapiga vibuti Wanaume wafupi na Wanene, Labda wawe na pesa nyingi sana

Na wewe ni andunje au wamekutuma?
 
Unaposema mtu ni mfupi ni mwenye ft ngapi??
Unaposema mtu ni mrefu ni mwenye ft ngapi??

Ukijibu hivyo nadhani nitachangia mada. Huwezi kufanya tafiti bila data ni ngumu sana kwenye suala hili. Ukiweka data hizo watu watachangia kwa mifano na tutafika mwisho
 
Dah umeenda mbali sana, ila unajua ninachokiongelea
 
Dah umeenda mbali sana, ila unajua ninachokiongelea
Mkuu nimekupata vyema sana. Nimeuliza mtu ili aitwe mfupi awe na ft ngapi ili tunapochangia hii maada iwe na mifano hai sio mifano dhania
 
Mkuu nimekupata vyema sana. Nimeuliza mtu ili aitwe mfupi awe na ft ngapi ili tunapochangia hii maada iwe na mifano hai sio mifano dhania
Mbona wenzako wamechangia, ulipata division ngapi form four
 
Jidanganye!
 
Acha tu! WANAUME wafupi tunapata MATESO ya ajabu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…