Dada koma.... Tena koma kipeo cha pili. Tabata tumekukosea nini.....?!Hao ni sehemu ya wadada sio wote, tumegawayika katika makundi makundi ndio mana wanasema kila mtu na mtuwe..
Mwanaume anaevaa hereni ptuuu!!!! wanaume kama akina Brown sijui watu wanawapendea nini wakaka wa Tabata
We introvert alwaysNitabaki yule niliye na vile nilivyo. Siwezi kubadirika kisa matakwa ya Mwanadamu itakua kama unaishi kwenye kivuli cha Watu. Kama mwanamke anakupenda atakupenda bila kujali vile ulivyo. Na wala sihitaji kupendwa na weeengi ili nionekane kidume nah just yule mmoja tu aliyenipokea kwa jinsi nilivyo anatosha.
Mambo ya kuwa badboy au namna gani ili kuvutia maelfu ya wanawake nawaachia ninyi...
Uongo huo, hakuna asiyependa kizuri.Kweli watu tumetofautiana, mie si mind ma handsome boy kabisa
Unategemea na kizuri wewe una ki define vipi wewe waweza kuona kitu flani ni kizuri, na mimi nikakiona Cha kawaida tuUongo huo, hakuna asiyependa kizuri.
Mbona unapingana na ulichosema mwenyewe, umesema hupendi ma-handsome tafsiri yake ni kwamba unapenda wanaume wenye muonekano personal.Unategemea na kizuri wewe una ki define vipi wewe waweza kuona kitu flani ni kizuri, na mimi nikakiona Cha kawaida tu
Ndo maana hamueleweki sasa...Ila Asante kwa somo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimepata siri yenu[emoji23]Kuna wanawake tuna asili ya kichwa ngumu na kutest kama unaweza kukaliwa na kupelekeshwa.
Ila tukimpata anaesema No, hayumbishwi na kununa kwetu, wala uzuri wetu tunatiaga akili fasta.
Mkishajua mbinu zetu aisee hatutawatesa kabisa. Kwanza we hate being controlled, ila asietu control hatumtaki anaboa.
We hate being ignored, usipotushobokea tunajiskiaga kupasuka etc
Yes napenda wanaume wenye sura za kazi sio kujira ramba lips na kutoga masikio mara bleach, hao hawana nafasiMbona unapingana na ulichosema mwenyewe, umesema hupendi ma-handsome tafsiri yake ni kwamba unapenda wanaume wenye muonekano personal.
Mahandsome ni wanaotoga masikio na kulamba lips, pamoja na kuweka bleach?Yes napenda wanaume wenye sura za kazi sio kujira ramba lips na kutoga masikio mara bleach, hao hawana nafasi
Not only hzo factors nilizoandika Kuna nyingine nyingiMahandsome ni wanaotoga masikio na kulamba lips, pamoja na kuweka bleach?
Hii ndio definition yako ya mwanaume handsome?
Nilicho kuelewa hapo ni kwamba, unapenda wanaume wenye mionekano mizuri lakini usichokitaka ni huo umama uliohainisha hapo juu kama kutoga sikio nk. Lakini muonekano kama muonekano mzuri hakuna asiyependa.Yes napenda wanaume wenye sura za kazi sio kujira ramba lips na kutoga masikio mara bleach, hao hawana nafasi
Lakini kumbuka hamna binadamu mubaya Mimi naangalia roho yake njema, unaona Ile picha ya yule commando iliyo trend, ndio napenda wanaume wa design hyoNilicho kuelewa hapo ni kwamba, unapenda wanaume wenye mionekano mizuri lakini usichokitaka ni huo umama uliohainisha hapo juu kama kutoga sikio nk. Lakini muonekano kama muonekano mzuri hakuna asiyependa.
Kama ndo hivyo basi endelea na moyo wako huo huo, maana wanawake wa hivyo ni wachache sana sikuhizi.Lakini kumbuka hamna binadamu mubaya Mimi naangalia roho yake njema, unaona Ile picha ya yule commando iliyo trend, ndio napenda wanaume wa design hyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mara kubembeleza, mara kiubishi ubishi, mara kutokuwasikiliza, mara ukorofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee wanatuchanganya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachanganya raia, sasa care mnataka mkipewa care tunageuka mazoba tena. Ukiwa bandidu mwanamke atalalamika ila its the right way ya kum handle mwanamke [emoji23]
Mwanaume anasifiwa kazi mkuu, ka handsome nitamzaa Mimi hapo akichukua nusu zangu na za baby wangu hapo tuna neutralizeKama ndo hivyo basi endelea na moyo wako huo huo, maana wanawake wa hivyo ni wachache sana sikuhizi.
Unataka mbishi, mkorofi korofi?Sasa nyie kila kitu mseme 'ndiyo'
Hata ambavyo unaona unapelekeshwa!uzoba huo,,vingine mjiongeze.
Mimi mtu akiwa zoba sana simtaki..nitamuonea[emoji1787]
Sasa hapo huwezi mpangia mwenyezi mungu, sababu anaweza toka copy ya baba yake.Mwanaume anasifiwa kazi mkuu, ka handsome nitamzaa Mimi hapo akichukua nusu zangu na za baby wangu hapo tuna neutralize
Kwa ufupi tu, being handsome is something natural. Ni muonekano mzuri ambao mtu anazaliwa nao. Huo muonekano hauna uhusiano wowote na tabia za muhusika.Not only hzo factors nilizoandika Kuna nyingine nyingi
Unachokosea ni kutaka kuchange character yako kwa ajili ya kupata approaval ya mwanamke, baki hivyohivyo na usabato wako utakubalika. Kwahiyo kila mara wewe utakuwa unajibadilisha kama kinyonga?