Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Hao ni sehemu ya wadada sio wote, tumegawayika katika makundi makundi ndio mana wanasema kila mtu na mtuwe..
Mwanaume anaevaa hereni ptuuu!!!! wanaume kama akina Brown sijui watu wanawapendea nini wakaka wa Tabata
Dada koma.... Tena koma kipeo cha pili. Tabata tumekukosea nini.....?!

Koma dada.
 
Nitabaki yule niliye na vile nilivyo. Siwezi kubadirika kisa matakwa ya Mwanadamu itakua kama unaishi kwenye kivuli cha Watu. Kama mwanamke anakupenda atakupenda bila kujali vile ulivyo. Na wala sihitaji kupendwa na weeengi ili nionekane kidume nah just yule mmoja tu aliyenipokea kwa jinsi nilivyo anatosha.

Mambo ya kuwa badboy au namna gani ili kuvutia maelfu ya wanawake nawaachia ninyi...
We introvert always
 
Unategemea na kizuri wewe una ki define vipi wewe waweza kuona kitu flani ni kizuri, na mimi nikakiona Cha kawaida tu
Mbona unapingana na ulichosema mwenyewe, umesema hupendi ma-handsome tafsiri yake ni kwamba unapenda wanaume wenye muonekano personal.
 
Kuna wanawake tuna asili ya kichwa ngumu na kutest kama unaweza kukaliwa na kupelekeshwa.

Ila tukimpata anaesema No, hayumbishwi na kununa kwetu, wala uzuri wetu tunatiaga akili fasta.

Mkishajua mbinu zetu aisee hatutawatesa kabisa. Kwanza we hate being controlled, ila asietu control hatumtaki anaboa.

We hate being ignored, usipotushobokea tunajiskiaga kupasuka etc
Ndo maana hamueleweki sasa...Ila Asante kwa somo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimepata siri yenu[emoji23]
 
Mbona unapingana na ulichosema mwenyewe, umesema hupendi ma-handsome tafsiri yake ni kwamba unapenda wanaume wenye muonekano personal.
Yes napenda wanaume wenye sura za kazi sio kujira ramba lips na kutoga masikio mara bleach, hao hawana nafasi
 
Yes napenda wanaume wenye sura za kazi sio kujira ramba lips na kutoga masikio mara bleach, hao hawana nafasi
Mahandsome ni wanaotoga masikio na kulamba lips, pamoja na kuweka bleach?

Hii ndio definition yako ya mwanaume handsome?
 
Yes napenda wanaume wenye sura za kazi sio kujira ramba lips na kutoga masikio mara bleach, hao hawana nafasi
Nilicho kuelewa hapo ni kwamba, unapenda wanaume wenye mionekano mizuri lakini usichokitaka ni huo umama uliohainisha hapo juu kama kutoga sikio nk. Lakini muonekano kama muonekano mzuri hakuna asiyependa.
 
Lakini kumbuka hamna binadamu mubaya Mimi naangalia roho yake njema, unaona Ile picha ya yule commando iliyo trend, ndio napenda wanaume wa design hyo
 
Lakini kumbuka hamna binadamu mubaya Mimi naangalia roho yake njema, unaona Ile picha ya yule commando iliyo trend, ndio napenda wanaume wa design hyo
Kama ndo hivyo basi endelea na moyo wako huo huo, maana wanawake wa hivyo ni wachache sana sikuhizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachanganya raia, sasa care mnataka mkipewa care tunageuka mazoba tena. Ukiwa bandidu mwanamke atalalamika ila its the right way ya kum handle mwanamke [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mara kubembeleza, mara kiubishi ubishi, mara kutokuwasikiliza, mara ukorofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee wanatuchanganya.
 
Mwanaume anasifiwa kazi mkuu, ka handsome nitamzaa Mimi hapo akichukua nusu zangu na za baby wangu hapo tuna neutralize
Sasa hapo huwezi mpangia mwenyezi mungu, sababu anaweza toka copy ya baba yake.
 
Not only hzo factors nilizoandika Kuna nyingine nyingi
Kwa ufupi tu, being handsome is something natural. Ni muonekano mzuri ambao mtu anazaliwa nao. Huo muonekano hauna uhusiano wowote na tabia za muhusika.

Unaweza kua handsome, na ukawa muhuni/bad boy. Na unaweza kua na sura kama ya Chikumbalanga, na ukawa nice guy.

Kua handsome au ugly, ni muonekano wa nje. Kua bad boy au nice guy, ni tabia za ndani.

Usichanganye hivyo vitu!
 
Unachokosea ni kutaka kuchange character yako kwa ajili ya kupata approaval ya mwanamke, baki hivyohivyo na usabato wako utakubalika. Kwahiyo kila mara wewe utakuwa unajibadilisha kama kinyonga?

Tatizo hawa wasabato unakuta kaiona pisi kali ila sasa suruali kavaa kitambaa mita 7 aka bwanga[emoji23][emoji23] sasa zama izi kweli utaeleweka mkuu? Alafu anaanzia mbali uje kanisani kwetu.... na akimuwin manzi mpaka ale kichwa ni yesu amuongoze tofauti na ivyo ni story tu sasa unategemea iyo game inakuwaje?
 
Back
Top Bottom