Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

Akili kisoda sana,mambo hayo ya watu kupotezwa umeanza kuyaona leo?
Mbona hata ujambazi na wizi wa sasa mnajitetea kua haukuwahi kuisha nchini Tangu enzi?
Ujinga tu umetamalaki kichwani mwenu
hata kama yalianza zamani wewe unaona bora yaendeleee? ndio mana Mungu kawachapa pigo.
 
Kwa samia ndio hamtaki kwa yule Jini Jiwe ndio mlitaka atawale milele?? hayo ndio manufaa ya kitaifa?? Malofa nyie
 
Mbona kipindi kile akina Rostam wameenda kuonana na ile maiti ya chato hamkuyasema haya

Mwacheni mama aipeleke nchi mahala salama kutoka kwenye ile diversion aliyokuwa anatupeleka bwana Mayanga/majanga

magufuli kafa, ila bado ana thamani kubwa kuliko wewe uliye hai , hapo sasa Sijui nani ni maiti
 
DU, watu kwa kubadiri topic, nani kasema Dangote ni mkumbozi wa Tanzania? Kuna andiko hata moja limesema hivyo? Tusiwekeane maneno mdomoni tafadhari.

Tangu 2012 uko JF, bado uko kiwango hiki cha majadiliano! Ni wewe uliyesifia ajira za Dangote;


Ukasifia na kazi yake nzuri hadi kushusha bei unayoita bei chee;
Bei chee! Jinga wewe huyu ni mjomba wa Tanzania!
 
Hivi umeona kejeli wapi? Just for your info umeshajiuliza kwa nini wako group ya kupata referral visa kabla ya kuingia TZ.

Na legitimate business za West Africa hapa Tanzania unaelewa undani wake? Mimi naongea with facts.
Tatizo dangote ni mweusi mwenzetu ndio maana maneno yamekuwa mengi angekuwa mhindi au mzungu wala msingepiga hizi kelele za kujifanya mna uchungu sana na nchi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Uliona popote nilipoandika humu JF nikiyashabikia na kuyashangilia matukio hayo?

Lakini usitake kulazimisha nionekane kama mpinzani wa uwekezaji wa aina yoyote nchini mwetu kwa kutaka kukidhi matakwa yako.

Kama hukusikia nikiweka msimamo wangu wazi kwa matukio hayo, huo ndio ushahidi kuwa niliyaunga mkono?

Lakini hata kama ningeunga mkono, rekodi ya huyo mtu inajulikana katika eneo hili la uwekezaji, hata kama alikuwa anadanganya, lakini rekodi ipo, kwamba aligombania maslahi ya nchi.

Ninachosikia pekee sasa hivi ni "Nafungulia nchi"; haijulikani inafunguliwa toka kifungo kipi na ni vigezo vipi vitakavyoambatana na kufungua huko.

Walanguzi kama wewe mnaipenda sana lugha ya namna hiyo, ndiyo maana unapapatikia sana hali hii ya kutupeleka kwenye uchuuzi usiokuwa na mipaka.
 
"...na ndicho anakifanya mama"
Marekebisho ya hizo sera mbovu yalifanyika wakati gani; hebu eleza hili kidogo.

Ni yeye mwenyewe kazirekebisha, au kuna utaratibu wa kufanya kazi hiyo?
 
MATAGA bwana!!eti mwekezaji mwenye kiwanda kimoja tu!!kwa akili yako unafikiria kuwa muwekezaji mkubwa ni yule mwenye viwanda vingi?hiyo tsh.trilion.1.7 kwenye huo uwekezaji wake ni ndogo?!!kwani aliyewakimbiza /kujenga mazingira yasiyotabirika ya biashara si alikuwa RAIS?Basi ni RAIS huyo huyo ndio anayeweza kujengea taswira mpya kwa hao wawekezaji.Yaani jamaa lile sijui hata lilitoka wapi
 

Wanafiki wakubwa hajusema wakati wa Magu sasa kila kitu mnatafuta mabaya hata ya kutuletea kazi
 
Tunasubiri muda wake uishe,afanye haraka na hao wawekezaji wake. Tumerudi kuwa shamba la bibi.

Mngetusikiliza kuhusu Corona badala ya kuweka ushabiki mzee wenu angekuwepo sasa muda wa washamba umekwisha tupeleke taifa mbele. Nawasalimia kwa jina la mungano wa Tanzania
 
Raia wa kawaida angekutana na viunzi 1000 kisha anakata tamaa wakati ndiye mwenye-nchi ambaye biashara yake, kula kwake, kuuguzwa kwake, kusafiri kwake, kununua bidhaa kwake, kulima mazao ya chakula na na biashara ndio KODI endelevu inayoifanya serikali kuwa hai na kutanua misuli huku yenyewe ikijiimarisha kwenye fahamu kuu tano za kimamlaka ili kuendelea kutawala.

1. Kusikia lakini wanaweka pamba masikioni
2. Kuona lakini wanapuuzia kwakuwa wananchi inawezekana ni washamba
3. Kunusa hatari na usalama lakini wakipima hadhi ya mtendewa ambaye ndie mwenye-nchi
4. Kuhisi wanapendwa au kuchukiwa bila ushahidi halisia kutoka kwa wenye-nchi
5. Kugusa kwa uthubutu wa kuhakiki hatari au usalama na pengine kuogopa kugusa kisichogusika kwa hofu ya kupoteza uungwaji mkono na wenye-nchi

Raia akiwa na dukuduku ambalo limesababisha changamoto ya kukata tamaa na maisha baada ya kudhulumiwa au kukutana na viashiria vya rushwa ili tatizo lake litatuliwe anaambiwa aanzie kwa mjumbe, mwenyekiti mtaa/kitongoji/shehia, mtendaji, mkuu wa wilaya, DAS, DED, RAS, DC, RC, WZR nk bila mafanikio yoyote. Akiomba nafasi kuonana na kiongozi mwenye mamlaka ya juu wasaidizi wanampigisha kona za kimizengwe hadi anapoteza imani na kutelekelzaq azma yake.

Tajiri akionekana kwa hisia unanusa pafyumu lakini mlalahoi anahisiwa anawweza kuhatarisha usalama-maajabu sana!!!

*Kwa hiyo ni rahisi sana kwa NGAMIA kupenya kwenye tundu la SINDANO kuliko TAJIRI wa mali (sio tajiri wa akili, hekima, busara na maarifa) na SIFA za KUJIKWEZA.
 

Tunasubiri muda wake uishe,afanye haraka na hao wawekezaji wake. Tumerudi kuwa shamba la bibi.

 
Wanyonge ni wengi (kama alivyokuwa akiwaita meko)ni wapiga kura wazuri sana, ila uchumi wa nchi unaendeshwa na watu wachache(matajiri)huo ndio ukweli sasa aliwaaminisha wanyonge kuwa adui wao ni tajiri!!!
 
"...na ndicho anakifanya mama"
Marekebisho ya hizo sera mbovu yalifanyika wakati gani; hebu eleza hili kidogo.

Ni yeye mwenyewe kazirekebisha, au kuna utaratibu wa kufanya kazi hiyo?
Swali fikirishi Nyumba ikiwa na ufa utasubiri ibomoke?
 
Wanyonge ni wengi (kama alivyokuwa akiwaita meko)ni wapiga kura wazuri sana, ila uchumi wa nchi unaendeshwa na watu wachache(matajiri)huo ndio ukweli sasa aliwaaminisha wanyonge kuwa adui wao ni tajiri!!!
"Tanzania hakuna matajiri,wanaoitwa matajiri ni wapigaji"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…