Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Rais wa nchi sio sawa na admin wa group la whatsapp la shule ya msingi uliosoma.Wasaidizi wake waliweza kuyatatua lni, na umejuaje kwamba matatizo ya Dangote hayawezi kutatuliwa na wasaidizi wake. Ni nani anajitoa ufahamu hapa?
Alitakiwa aje mashambani siku ile alipomaliza kumweka kaburini Magufuli, that's how urgent it was, and remains so, mpaka kesho kutwa.
👍👍Rais wa nchi sio sawa na admin wa group la whatsapp la shule ya msingi uliosoma.
Ni taasisi pana yenye ratiba pana na kile sehemu ni muhimu.
Wengi wa wanaopinga mambo anayofanya Rais Samia, ni watu primitive, washamba, wasiojua chochote kuusu uchumi wa kisasa.Wasukuma Wana shida sana
Tangu Chief wao amekufa wanaropoka sana
Haturudishi wasukuma ikulu, mmejua kutufunza. Mama chapa kaziSisi tunanyamaza maana tukisema tunaitwa sukuma gangkwa sasa praise team wamebaki wa Msoga na ndugu zao Chadema,ndo kutwa na mapambio Daah nchi hii mmmhh
Ulitaka akakutane na dangote wapi
We mbugila kweli
Ova
Fikra mfilisi.Tatizo naliona kwa huyu Dangote. Yaani ni mgeni wa kudumu ikulu. Kwa Kikwete alifika, kwa magufuli alifika sasa kamuanza Samia. Bahati mbaya wote wanampokea utadhani ndo baba wa biashara nchini. Kiwanda chenyewe kimoja tu!
Kuna hadithi kwamba wanasiasa wanawinda kupewa shares kwenye kiwanda chake na ndo sababu aliahidiwa mengi nje ya sheria za nchi.
Rais afanye kazi, wenye akili wanamwelewa sana. Wajinga, watu primitive, wasilirudishe Taifa nyuma.Tutaanza kuona mifuko ya rambo ikiingia ikulu. Wameshajua bei yake.
Waziri wa kilimo na naibu wake wapo vizuri sana na kuna mapinduzi makubwa yanaendelea ndani ya hiyo sekta.Kwani huko kwenye biashara hakuna wahusika; wewe vipi bhwana, mbona unabwatuka tu bila kutumia akili.
Wakulima wa nchi hii hawana matatizo makubwa kushinda hayo ya kiwanda cha Dangote, au wewe unaishi wapi?
Walipo wakulima wa nchi hii ndiko anakotakiwa rais awepo. Ndipo penye uhitaji mkubwa wa miongozo yake ili kuleta mabadiliko chanya kwa walio wengi haraka.
Hiki kinachowatesa wasukuma ni tabia yao ya kuendekeza ukabila.Nyie wasukuma mnapata shida Sana aisee , maana mmekua watu wa kupinga tu sasa , sijui mnapigia chepuo nani aingie ikulu , Kama magufuli hayupo tena na hawezi kuwepo tena.
Kama VIP hameni Nchi Kama walivyofanya wale waliokua hawamuelewi magufuli .
Gazeti la Forbes liliwahi kuandika, 'Dangote amewekeza zaidi ya dola milioni 700 nchini Tanzania. Dangote anaweza kumpigia simu Rais wa Marekani au Waziri Mkuu wa Uingereza hata saa 8 usiku, wakiambiwa ni Dangote aliyepiga, wataamka kwenda kupokea simu yake, huyo sasa anadharauliwa na utawala wa Magufuli nchini Tanzania'. Ni wakati ule Dangote alipoamua kuondoa kiwanda chake toka Tanzania. Marehemu akahaha sana, akamwalika ikulu na kumbembeleleza abakie nchini.Dangote ni mfanyabiashara mkubwa
Ova
Hatari.EeenHeee,
Utalia sana mkuu 'Zygot', huu ni mwanzo tu!
Hapana, mimi sitaki wakulima mashuhuri pekee ndio waende ikulu. Mimi nasubiri awafuate walipo; hasa hao hohehahe wenzetu wanaolanguliwa mazao yao na nisikie mipango yake kuwainua ikoje.
Mpaka hapo atakapofanya hivyo, nitaendelea kuungana nawe na kuililia Tanzania inayoandaliwa kurudi kwenye uchuuzi.
Wakati unafikiria kusema lakini unaamua kunyamaza kwa hofu ya kuitwa Sukuma Gang, je ulishawahi kusema wakati Jiwe akikutana na akina Rostam Aziz au hata huyo Dangote huko huko Ikulu?!Sisi tunanyamaza maana tukisema tunaitwa sukuma gangkwa sasa praise team wamebaki wa Msoga na ndugu zao Chadema,ndo kutwa na mapambio Daah nchi hii mmmhh
Walionana na maiti!!???Mbona kipindi kile akina Rostam wameenda kuonana na ile maiti ya chato hamkuyasema haya
Mwacheni mama aipeleke nchi mahala salama kutoka kwenye ile diversion aliyokuwa anatupeleka bwana Mayanga/majanga
Acha ujinga mtu mdogo wwAcha apewe chochote atakacho, kuliko kutawaliwa na yule dhalimu aliyeko ahera.
Magufuli alipokutana na Dangote Ikulu
Ulikuwa na mawazo sawa na haya wakati Magu akikutana na akina Rostam au hata huyo Dangote hapo Ikulu?!EeenHeee,
Utalia sana mkuu 'Zygot', huu ni mwanzo tu!
Hapana, mimi sitaki wakulima mashuhuri pekee ndio waende ikulu. Mimi nasubiri awafuate walipo; hasa hao hohehahe wenzetu wanaolanguliwa mazao yao na nisikie mipango yake kuwainua ikoje.
Mpaka hapo atakapofanya hivyo, nitaendelea kuungana nawe na kuililia Tanzania inayoandaliwa kurudi kwenye uchuuzi.