Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 571
Halafu kwa miaka kadhaa sasa wanigeria wamevamia Tanzania eti investors...Tena anaowakaribisha ni wa Nigeria. Hatijasikia akiwahitaji wafanyabiashara wa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kwa miaka kadhaa sasa wanigeria wamevamia Tanzania eti investors...Tena anaowakaribisha ni wa Nigeria. Hatijasikia akiwahitaji wafanyabiashara wa Tanzania.
Bora elimu ya huyu kuliko yule aliyeungaunga kutoka ualimu hadi phd fekiHapana! Hata waganda walisema haifai kumuacha Amin muuaji na kumfuata Obote muuaji tena. Huyu itakuwa kama kombolela: namtilia msahaka tangu uzoefu hadi elimu yake, imeungwa saaana!
Walichofanywa wafanyabiashara wa tz hii miaka 5 ya muovu hata wana hamu tena? Wanahitaji muda wajipange upya, maana muovu aliwafanya kitu mbaya sana, wengi iliwapasa hata kuuza assets zao na kukimbia nchi yao. Yupo wapi Manji leo hii? Mtz aliyeajiri maelfu ya watz, muovu kwa mabifu yake ya kishamba akamsambaratishaTena anaowakaribisha ni wa Nigeria. Hatijasikia akiwahitaji wafanyabiashara wa Tanzania.
Aisee umetumia kauli ngumuMbona kipindi kile akina Rostam wameenda kuonana na ile maiti ya chato hamkuyasema haya
Mwacheni mama aipeleke nchi mahala salama kutoka kwenye ile diversion aliyokuwa anatupeleka bwana Mayanga/majanga
Mapinduzi gani chief? Unaweza kufafanua kidogo?Waziri wa kilimo na naibu wake wapo vizuri sana na kuna mapinduzi makubwa yanaendelea ndani ya hiyo sekta.
Mkubwa baki na mavi yako nyumbaniAisee umetumia kauli ngumu
Walionana na maiti!!???
hebu kuwa na adabu ama tutakuchapa kwa sentesi ngumu
ski na mavi yako nyumbani bintiWewe huna tofauti na mbwa kwa maneno yako hayo.
Haijalishi awe mnigeria,mghana au mcameroon km ana uwezo wa kuwekeza na kuzalisha ajira za kutosha tunapaswa kumkaribisha kwa bashasha zote na sio kwa kejeli km unazoziandika hpa.Halafu kwa miaka kadhaa sasa wanigeria wamevamia Tanzania eti investors...
Mkubwa baki na mavi yako hapo maya/janga constructionUmeongea ushuzi mtupu
Ww ashabaki nayo....Mkubwa baki na mavi yako hapo maya/janga construction
Mbona matusi mkuuMkubwa baki na mavi yako nyumbani
Dangote anasikilizwa dunia nzima.Tatizo naliona kwa huyu Dangote. Yaani ni mgeni wa kudumu ikulu. Kwa Kikwete alifika, kwa magufuli alifika sasa kamuanza Samia. Bahati mbaya wote wanampokea utadhani ndo baba wa biashara nchini. Kiwanda chenyewe kimoja tu!
Kuna hadithi kwamba wanasiasa wanawinda kupewa shares kwenye kiwanda chake na ndo sababu aliahidiwa mengi nje ya sheria za nchi.
Au Kabudi, kwio huyo mwekezaji atarudi tena?Kwa hio dangote akakutane na mwigulu
mwigulu Ni muuaji