Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Wasipokuelewa na hapa basi ile aya inayosema "hawatokuwa radhi mayahudi na manaswala hadi mfate....."
Sikatai yapo maneno ya kiarabu, kireno, kijerumani, kiingereza kwenye lugha yetu, ila kuna vitu vingi vyenye majina ya kibantu ambavyo haina haja kutumia lugha za watu, mfano mwaka mpya tayari una jina lake la kibantu, iweje nyie mnauita tena kwa kiarabu sasaMkuu ukiangalia majina na maneno hata neno Swahili ni la kiarabu
Maneno mengi sana ya kiswahili ni ya kiarabu au kihindi
Hata Xmas sio la kiswahili Mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hata nyinyi mnaojiita wakristu wengi wenu mnaoongozwa na akili za watu wachache lakini mnajiona superior sana.View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Sikatai yapo maneno ya kiarabu, kireno, kijerumani, kiingereza kwenye lugha yetu, ila kuna vitu vingi vyenye majina ya kibantu ambavyo haina haja kutumia lugha za watu, mfano mwaka mpya tayari una jina lake la kibantu, iweje nyie mnauita tena kwa kiarabu sasa
Yaani kitu kina neno la kiswahili tayari nyie mnaita kwa kiarabu?
Hukuna limitations ya kutoa sadaka Mungu anapokea sadaka ndogo pia anapokea sadaka kubwaHuna hela wewe sadaka zako hizo za mia mbili mia mbili zitajenga nini zaidi masheikh wakanunulie maandazi au gahawa.
.
Wajenzi wa misikiti Tanzania nzima wanafahamika lazima media ya kiislamu itakuja kuripoti huo uzinduzi na tena mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa hizo media sijui Tv iman na nyingine
Mufti mkuu wa Tanzania unamzidi nini kwenye hiyo dini?Hukuna limitations ya kutoa sadaka Mungu anapokea sadaka ndogo pia anapokea sadaka kubwa
Mungu humlipa mtu kutokana na uwezo wake wa kimali sasa Mimi huwezi kunilinganisha na wengine
Kipato changu kidogo na sadaka natoa kidogo,nikiwa na kipato kikubwa na sadaka nitatoa kubwa
Sasa povu la nini Mkuu
Simon Hapygod Msuva ni mchezaji wa mpira sio muhibiri swali la kijinga sana hili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzeee wa taifa la kikristu
Hivi kwanini msuva kaenda kucheza morroco?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hanizidi wala simzidiMufti mkuu wa Tanzania unamzidi nini kwenye hiyo dini?
.
Yeye aliwatakia watanzania heri ya mwaka mpya wewe nani unapinga?
Kwa hiyo mufti mkuu ni mjinga kuwatakia watanzania heri ya mwaka mpya?Wapo wengi tu
Nasema hivyo kwa sababu nimeona ila kwa takwimu sijui na siwezi kutoa ushahidi huo
Dini ni kufuata yaliokubaliwa na kuacha yaliyokatazwa ni hilo tu
Wanaofanya yao ni wao na kila mtu atabeba thawabu zake na dhambi zake Mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kututakia heri ya mwaka mpya ni inshara ya kuitambua. Mashia siku ya Noel walifanya hadi press conference ina maana wanaitambua.Hanizidi wala simzidi
Dini ni matendo siyo cheo
Sasa umesha sema amewatakia heri ya mwaka mpya watanzania
Ingekuwa kawatakia heri ya mwaka mpya Waislamu wa Tanzania hapo tungeendelea na mjadala
Mzee ubongo wako unamatatizo sio bure, mtume wetu alikuwa ikifika siku yake ya kuzaliwa kwanza anafunga pili anashinda akisoma qur an tukufu nami ndicho nafanya, kuhusu mufti sasa mimi nifanyeje ikiwa yeye ni mwanadamu kama mimi na anamapungufu yake kama mimi nilivyo na mapungufu yangu, au unahisi mufti hakosei? Au mufti unazani anachaguliwa na Mungu?Is celebrating birthday not a western (kafir) culture?
.
Mufti mkuu wa tanzania alituwish heri ya mwaka mpya
Kwa hiyo mufti mkuu ni mjinga kuwatakia watanzania heri ya mwaka mpya?
Msimamo Wa kuwa na demu mkristo!!!
Una msimamo Wa kibakwata na sisihemu.
Mkuu samahani lakini naona uwezo wako wa kufikili ni mdogo au unafanya makusudi katika uislamu huo mwaka mpya haupo na hatuja ambiwa tuusheelekee,ndio maana hakuna kiongozi hata mmoja wa kiislam aliyetangaza kusheelekea huo mwaka.pombe ni haram kwa waislam ila wapo waislamu wanakunywa hayo ni matwakwa yao.pia ukiona muislam anafanya kitu ambacho kimeharamishwa kwa waislamu ujue hayo ni matakwa ya watu binasfi sio UISLAM .usilazimeshe nyeusi kuwa nyeupe.View attachment 1309109
Sijahukumu uislamu nimeuliza swali kwanini ninyi waislamu wa Tz mnasherehekea mwaka mpya wa kalenda ya Gregory ilihali mna yenu?
Ni swali rahisi sana
.
Huyo ni diamond akizindua msikiti Kigoma je kama mnaweza kuukubali huo msikiti na mafundisho yenu yanapinga utakataa hamsherehekei mwaka mpya wa Gregorian? Come on buddy
Mkuu samahani lakini naona uwezo wako wa kufikili ni mdogo au unafanya makusudi katika uislamu huo mwaka mpya haupo na hatuja ambiwa tuusheelekee,ndio maana hakuna kiongozi hata mmoja wa kiislam aliyetangaza kusheelekea huo mwaka.pombe ni haram kwa waislam ila wapo waislamu wanakunywa hayo ni matwakwa yao.pia ukiona muislam anafanya kitu ambacho kimeharamishwa kwa waislamu ujue hayo ni matakwa ya watu binasfi sio UISLAM .usilazimeshe nyeusi kuwa nyeupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mufti kawatakia heri ya mwaka mpya ila hajasema anawatakia heri waislam wa Tanzania sasa kipi ambacho hukielewi!Kututakia heri ya mwaka mpya ni inshara ya kuitambua. Mashia siku ya Noel walifanya hadi press conference ina maana wanaitambua.
.
Je ni halali kwa kiongozi mkubwa kama mufti kusherehekea sherehe mnazoziita za kikafiri?
Kama mufti anaitambua ina maana si jambo baya au unasemaje?
Si jambo jema hilo, nahitaji kufahamu kwanini wengi wako jela?