Sio lugha inayonisumbua. Nimekuelezea vizuri Yesu wa Biblia jinsi alivyo. Adam aliumbwa kutoka mavumbini, lakini Yesu alikuwepo kabla ya kuzaliwa kwake duniani (Yohana 1:1-14). Tofauti ni kwamba Adam aliumbwa, lakini Yesu ni Neno la Mungu aliyekuwepo tangu mwanzo, na kwa njia yake vitu vyote viliumbwa. Ndiyo maana Biblia inamwita Mwana wa Mungu, si kwa maana ya kuzaliwa kimwili, bali uhusiano wa kiungu wa milele. Usimlinganishe na Adam, kamwe.Kwanza kinacho kusumbua ni lugha Labda ya kuitwa Issa mwana wa Mariyamu hata nyinyi mmembadilsha kwa kumuita majina ya lugha zakigeni kabisa
Sasa hili andiko linaeleza kufanana kwa uumbaji wa Nabii Isa (Yesu) na Nabii Adam (a.s)
Qur’an 3:59
"Hakika mfano wa Isa mbele ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam. Alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia Kuwa! akawa"
andiko hili linamludisha mtu kwenye ufahamu au akili yake inakuwaje Adamu asiye zaliwa asiwe mtoto wa Mungu alafu Yesu ndiyo awe mtoto wa Mungu au Mungu ambae amezaliwa na binadamu.
Punguza upimbi tumia muda wako kuandika makala yenye faida kwako na wasomaji.Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Hakuna hoja yeyote uliyoileta hapa zaidi ya fantasies zako tu,ndio maana umeshindwa kujibu maswali yangu,Hoja hujibiwa kwa hoja. Ni wapi nimekashifu dini yako ndugu yangu? Ningekuwa nimekashifu naamini uzi huu ungeishafutwa zamani.
Ukiona mtu ana lalamika sana kuhusu kukashifiwa kwa Dini yake, ni kwamba hawaijui Dini yao...wanao ijua kamwe huwezi kusikia upuuzi km uwo...wanoijua watakuombea kusudi uijue au uwe mfuasi wao, hawatapiga makelele ya hovyo.Hoja hujibiwa kwa hoja. Ni wapi nimekashifu dini yako ndugu yangu? Ningekuwa nimekashifu naamini uzi huu ungeishafutwa zamani.
Mtoto mzuri wewe ulitakiwa utulie uachane na haya mambo mana hakuna mahubiri ya mwanamke yakaingia akilini Kwa mwanaume.Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Sawa wakimuona Yesu kuna kosa lipi Yesu ni Mtume hata.mimi nilisha kuota Nabii Ibrahim kwa hio nifate dini ya Ibrahim sa dini ya Ibrahim ni dini ipi hebu nipeni dini yake hahahaRipoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Tena afanye haraka kabla hajaanza kufanya makazi jalalani/dampoTafuta tiba ya magonjwa ya akili kabla hujaharibikiwa zaidi,
Pia inaonekana upweke unakutesa sana,tafuta kiserengeti kikutulize akili wakati ukiendelea na tiba Mirembe.
Wakati mwingine upwiru unapozidi Kwa wanadamu inakuwa ni shida sana, unaweza kufanya jambo ambalo ukija kutafakari hadi unashangaa. Yesu siyo Mungu, Wala siyo mwana wa Mungu, yeye ni mjukbe tu wa mwenyezi Mungu, na ktk uislamu anaitwa Issa bin Maryam, Hana baba, alizaliwa Kwa uwezo wa mwenyezi Mungu Kwa maamuzi yake. Kusema kafa msalabani, mara ooh yesu ni Mungu, ni kufuru kubwa. Ficha ujinga wakoRipoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Utajuaje ni yesu hali ya kua hakuna anayejua sura yake?Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Wanayemwamini sio Yesu, ni Isa. Isa sio Yesu.
Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa. Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo: Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu. Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...www.jamiiforums.com
Amevaa mavazi meupe, Ivi kwani Yesu ni Mtu?Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
Kobaaz wangejua wangetubu sasa na kumuamini Mungu Jehovah maana very soon anakuja shetan mwenyewe kuwatawala akimtumia huyo wenyewe wanamuita mahdi aisee atawafanyia unyama ambao haujawahi tokea duniani iwepo na pindi kobaaz hawa wanapokufa wanaenda jehanamHakuna kitu kinachomfurahisha mungu wa Jehovah kama kobazi mmoja akiziacha njia za Allah na kuzifuata njia za Jehovah
Ulivyo dai hapo maswali yanakuja mengi je Mungu anakufa je Mungu anazaliwa Embu soma haya halafu unipe jibuMaandiko hayo huwezi kuyaelewa bila kujua maana ya Utatu Mtakatifu. Soma uzi huu utaelewa vizuri Utatu Mtakatifu ni nini na ukweli kuwa Yesu ni Mungu
Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?
Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...www.jamiiforums.com
Ni siasa Kali tu kwa Waislam, kukataa uungu wa Yesu. Yesu ametajwa, katika Quran zaidi ya mara 108, wakati Mohamed ametajwa mara 4 tu. Yesu anaponya, wakati, Mohamed, hakuweza. Yesu alifufuka,, Mohamed yuko kaburini. Yesu ndiyo alama ya kiama, Mohamed hajui mwisho wake.Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia imani ya Kikristo.
Kwa mujibu wa ripoti hizo, karibu asilimia 25 ya Waislamu walioongoka na kuwa Wakristo walieleza kwamba ndoto za Yesu ndio sababu kuu iliyowafanya kumwamini Yesu na kukubali kuwa ni Bwana na Mwokozi wa ulimwengu.
Ripoti hizo zinaeleza pia kwamba kulingana na sheria za kidini katika nchi hizo, watu hao walioamua kuwa Wakristo wanakabiliwa na adhabu kali na hata kifo. Hata hivyo, watu hao walioota ndoto hizo za Yesu wana ujasiri wa ajabu na wako tayari kufurushwa katika familia zao na kubeba gharama ya kuongoka kwao!
Sources:
CBN News
Mission Network News
Mission Frontiers
TrentStone
WATUKANAJI HAWATAURITHI UFALME WA MUNGUPunguza upimbi tumia muda wako kuandika makala yenye faida kwako na wasomaji.
Ama juha siku zote atapoteza muda wake kwa vitu vya kijinga.