Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
True katika watu zaidi ya mil 5 wa dar es salaam zaidi ya asilimia 80 original yao ni mikoaniAsilimia kubwa ya wakazi wa Dar ni wa kutoka mkoani, wakazi asilia ni wazaramo jiulize kwanini wamegeuka tabia
Yaani wengine hata ukimwambia nitapita kuwasalimia tu hataki,atajifanya bize mpaka muda wa kuondoka Dar unafikaUkiona umenuniwa ujuwe umekuja Kama zigo tu, umeshindwa kuja hata na Mahindi ya kuchemsha kutoka kwenu Bush lazima utanuniwa tu! Watu wa mikoani mjiongoze Dar kila kitu ni pesa siku hizi!!
kwa kiswahili hawajambo😆😆😅😅😅😅Wanaongea hatari
Huku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepaUnavyokuja Dar hakikisha unakuja na unga, mchele, mafuta na jogoo. Haiwezekan uje ule chakula cha bure na bado unataka nikutembeze maeneo mbalimbali ya Dar kama beach nk kwa nauli yangu. Hakuna kitu kama hicho
Imefanyaje?
Hayo maisha mnayoishi ndio mna hela?
Mimi nina miaka zaidi ya 15 sifikii kwa ndgu,rafiki....nafikia hotel nkimaliza mishe zangu nawaitia bia,ndio navyo ishi nao,wakija ar nawaambia sihitaji mgeni kwangu waende hotelUnaondoka Mkoani una samaki na mchele kuwapelekea ndugu zako. Ukifika unanuniwa! Ngoja sasa wao wafike kwako wanajifanya wanyenyekevu na kufakamia kila kilicho mbele yao.
Ulaya ni ulaya aacha wabaki na tamaduni zao ni sisi tuna tamaduni zetu, je wewe unaweza kula denda na mpenzi/mchumba wako mbele ya wazazi wako? lkn kwa ulaya ni kitu ya kawaida, je unaweza kuhudhuria sherehe ya mwana familia wenu aliyejitangaza kuwa ni shoga sasa amekutumia kadi ya kuolewa kwake, lkn kwa ulaya hiyo ni kitu ya kawaida.Sasa ukienda ulaya si ndo utatukana .maana kule ni mara 1000 ya dar..yaan hawatak ujinga wa ndugu kabisaaa...maisha ni budget..ukiona unanuniwa ujue kwenda kwako pale ni kero.
Bak kwenu mkoan ndugu
Wee kumbe ulikuwa hujawajulia!! hata maji ya kunywa usijidanganye kumnunulia labda vile vitu vya lazma akiwa nyumbani kwako, lkn mara tupite mahara tupate bia 1,2 jua umepigwa, siku ukienda Dar atakwambia yuko kwenye folen mpaka jua lizama au unakaribia kupapambazuka.Huku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepa
Nishawahi kukutana na hii pia nashuka kwenye daladala bongee la mvua ile kuangalia sehemu ya kukimbilia nikaona sehemu ya biashara ya matrekta kufika hapo kibarazani nikakutana na dada mlinzi akanikaribisha kwa jicho fulani hivi nikamwambia ahsante najificha mvua kidogo eti hapa haturuhusu nikahisi pale niliposimama basi nikasogea pembeni kidogo eti dada eneo lote hili haliruhusiwi dah ikabidi niondoke kinyonge àfu kwa hasira nikatembea hadi home na mvua nimefika nimeloa mno.Kuna siku nilishangaa mvua ilikuwa inaonyesha ikakatika , Ile natoka Tu bonge la mvua mbele yangu kuna mgahawa nikaenda kujikinga mvua akaja mwenye mgahawa akaniuliza unahitaji chai na nini? Nikajibu samahani nimejificha mvua alichonijibu nilijitosa kwenye mvua. Kweli watu WA Dar Wana roho za ajabu.
Sasa Kama shida ni salaamu,si mnasalimiana hata kwa simu,si lazima muonane Kama hakuna umuhimu wa kuonana! Kwanza siku hizi kuna Corona!!Yaani wengine hata ukimwambia nitapita kuwasalimia tu hataki,atajifanya bize mpaka muda wa kuondoka Dar unafika
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hivi mtu anaamka SAA Tisa usiku anakuja kulala saa Sita usiku hivi unategemea atakuwa na roho nzuri?
Jamaa wanaishi kama pimbi mwenye harakati nyingi ambazo hazina faida.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na wewe kipenzi cha watu yanakukutaHuku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepa