Kwanini wakazi wengi wa Dar es Salaaam mna roho mbaya?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi wakija chakula n kinywaji atapata,ila malazi aende hotel
 
Huku mkija mnakuja mikono mitupu bia zetu n nyama choma mnatafuta hatari,tukija dar mko busy wiki nzima[emoji16][emoji16]....mimi nkija dar sina muda na ndgu wala rafiki nafikia hotel nkimaliza mishe nasepa

Tukitoka dar huwa tunapitia kariakoo tunawaletea nguo, vitenge nk
 
Kuna dada mmoja huku Mbeya alinisimulia kuwa ana mjomba wake huko Dar. Alisema ukienda kwake siku hiyo umefika anakuuliza maswali mawili: 1. Umekuja kufanya nini? 2. Utakaa muda gani?
Yaani habari ya kwenda kusalimia haipo. Salamu kwa simu tu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na wewe kipenzi cha watu yanakukuta
Mimi nimeshawazoea ila kwangu hakuna kufikia,aende hotel kwa gharama zake...unakaa wiki dar kila siku anakuambia yuko busy,j2 anakuuliza umeshaondoka?[emoji16][emoji16]
 
Mimi nimeshawazoea ila kwangu hakuna kufikia,aende hotel kwa gharama zake...unakaa wiki dar kila siku anakuambia yuko busy,j2 anakuuliza umeshaondoka?[emoji16][emoji16]
Haahaahaa sio wote mkuu...mi ukija karibu home mbezi makonde, usisite kunistua mkuu
 
Sasa Kama shida ni salaamu,si mnasalimiana hata kwa simu,si lazima muonane Kama hakuna umuhimu wa kuonana! Kwanza siku hizi kuna Corona!!
Acha ujinga
 

Hahaaaa.. aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahiyo mzee mama ukaona ususe kabisa kwani mvua kitu gani bana? Ukakomaa nayo hata ukikuta sehemu ya kujificha hutaki tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama nakuona by the time unafika home uko chapachapa na umefura kwa hasira zimekukaba mpaka hapa!! Sasa assume unafika home tena ndio unakutana na mgeni katoka kijijini bila taarifa huo mnuno wake lazima kesho aage πŸ˜‚
 
Kama auna connection maisha ya Dar ni magumu sana kwasababu ukihitaji kupata kitu chochote ni mpaka uwe na pesa.
Sasa mgeni kama mgeni ukute mwenyeji wako hanapesa hata ya kula jioni ya leo.

Alafu unakwenda kumpelekea mzigo wa kukulisha na kukuhudumia mpaka pale utakapokaa sawa!'ndo maana wengi wanaonekana wanaroho mbaya kumbe ni ugumu tu maisha.
 
Kiukweli nilinuna na nilisusa kusimama sehemu yoyote kuna sehemu nilikuta watu wengi wamesimama hapo nikapita nikaskia naitwa dada njoo usimame hapa mvua kubwa hii nikawajibu tu ahsante nimekaribia kufika home πŸ˜€ sasa ndiyo nikute na mgeni aisee sijuiπŸ˜€
 
Mimi huwa na kuja na debe mbili za mchele na maharage alafu nakaa siku tatu tu, mbali na hilo muda wote huwa nakuwa busy hvyo huwa sigusi dona lenu,lakini bado hali ni mbaya.
Tatizo lipo lakini ninamashaka nautafiti wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…