ili jiwe Kuna mwamba anaitwa alkurmti alienda kwenye nyumba ya Allah akalichukua jiwe mnalolibusu akaenda kulifanya jiwe la chooni analinyea badae mkamuonga mkalirudisha maka na leo ndio manalibusu?Lile lipo tangu enzi za nabii Suleiman.. Ni holy stone sio la muhamad limelindwa vizazi na vizazi.
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Mtume anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]Kwamba ni mojawapo ya masanamu yaliyotengenezwa ma majini kipindi Cha muislamu selemani?
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Ni historia tu na ni narration halina uhusiano wowote na utukufu wa Mungu soma mpaka mwisho iyo Aya ulizokuwa unaandika ndo utajua ..ili jiwe Kuna mwamba anaitwa alkurmti alienda kwenye nyumba ya Allah akalichukua jiwe mnalolibusu akaenda kulifanya jiwe la chooni analinyea badae mkamuonga mkalirudisha maka na leo ndio manalibusu?
Kati ya Umar aliedharau jiwe na muhammad yupo unamfuata"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Mtume anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]
Jiwe lilikuwa la milk wakimaanisha ile nyeupe ya kung'ara sasa kwa sababu ya dhambi za watu wanaokuja pale kutouch ndo likawa Jeusi umenielewa!! kushika na binadamu weny dhambi ndo likawa vile ila halina uhusiano wowote na Mungu na sio lazima .Jiwe ni tofauti , unaua ,unabaka , ukienda akalibusu au kulipungia tu dhambi zako zinafyonzwa na jiwe na Allah anasema lilikuwa jeupe ila dhambi inazozifyonza inalifanya linakuwa jeusi
Alkurmuti alilinyea hili jiwe kwa miaka mingi mkaenda kumuonga akawarudishia vi kokoto ndio mnavyo mpaka Leo na mnabusuNi historia tu na ni narration halina uhusiano wowote na utukufu wa Mungu
Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."Kati ya Umar aliedharau jiwe na muhammad yupo unamfuata
Huyu muhammad
- Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
- Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
- Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
- Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
- Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
- Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
- Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
Leta historia yake hilo jiwe no hadithi ambazo zona narration ila soma kule mwanzo kabisa utajua limtokea wapi?Alkurmuti alilinyea hili jiwe kwa miaka mingi mkaenda kumuonga akawarudishia vi kokoto ndio mnavyo mpaka Leo na mnabusu
Nimekuuliza Kati Umar aliedharau jiwe na muhammad nani unamfuataJiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah na jiwe hilo.Na wasiokuwa waislamu haijuzu kwao kuwazulia waislamu juu ya jiwe hilo kinyume na maelezo ya hadithi .
Ukiachana na jiwe tu hata viungo vya mwili siku ya Qiyama vitakuwa na uhai wa kuongea kama miguu ,mdogo, macho, ulimi kama uliipeleka kweny madhambi.
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) na jiwe hilo kama alivyosema 'Umar ibnil-Khatwaab (Radhwiya Allaahu 'anhu) alipolibusu:Nimekuuliza Kati Umar aliedharau jiwe na muhammad nani unamfuata
Umar kasema jiwe halina maana
Na muhammad kasema linafuta dhambi nani mkweli?
History ya alkurmuti ipo alivamia Kaaba akaua waislamu ma elfu akalichukua jiwe akaenda kuliweka chooni akawa analinyea , akawa anasema Allah ajitokeze , amekaa na jiwe miaka mingi zaidi ya 20 waislamu wakatafuta pesa wakaenda kumuonga akawarudishia limebaki vi kokoto vipo 8Leta historia yake hilo jiwe no hadithi ambazo zona narration ila soma kule mwanzo kabisa utajua limtokea wapi?
Kwa maana hiyo wewe unampinga muhammad aliesema jiwe linafuta dhambi?Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) na jiwe hilo kama alivyosema 'Umar ibnil-Khatwaab (Radhwiya Allaahu 'anhu) alipolibusu:
"إني أعلم أنك حجر لا تضر ولا تنفع ولولا أني رأيت النبي صلى الله عليه وسلم يقبلك ما قبلتك" البخاري
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy].
😂😂😂😂😂History ya alkurmuti ipo alivamia Kaaba akaua waislamu ma elfu akalichukua jiwe akaenda kuliweka chooni akawa analinyea , akawa anasema Allah ajitokeze , amekaa na jiwe miaka mingi zaidi ya 20 waislamu wakatafuta pesa wakaenda kumuonga akawarudishia limebaki vi kokoto vipo 8
Funganisha na Qur an leta Aya kweny qur an kuhusu kaabah..Kwa maana hiyo wewe unampinga muhammad aliesema jiwe linafuta dhambi?
Wewe umeweka Hadith Umar akisema jiwe halinufaishiFunganisha na Qur an leta Aya kweny qur an kuhusu kaabah..
Note: iwe hadithi au Sunnah ikipingana na Qur an ujue ni batili hamna haja ya kuangalia mara 2.
Twende kweny Qur an Haina shaka ndani yake .
Kwani wewe umetoa wapi na nimefanya muendelezo wa hadithi uliyoleta? Kwa nn unelata mambo nusu nusu soma hyo hadithi mwanzo mpaka mwisho.Wewe umeweka Hadith Umar akisema jiwe halinufaishi
Nimekuuliza Kati ya umar aliesema jiwe halinufaishi na Muhammad aliesema Lina manufaa nani mkweli?
Tuanzie hapaKwani wewe umetoa wapi na nimefanya muendelezo wa hadithi uliyoleta? Kwa nn unelata mambo nusu nusu soma hyo hadithi mwanzo mpaka mwisho.
😂😂🤣😂😂 Mavi ya alkurmuti yalikuwa na nyongo Kali kakisambaratisha kimondo kikabaki kokoto😂😂😂😂😂
😂😂😂Hii Aya nishakuambia kwamba hilo jiwe kwanza limekuwa Jeusi kwa dhambi za binadamu.Tuanzie hapa
Je utaungana na Umar Alie sema halina manufaa?
- Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
- Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961