Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

Lile lipo tangu enzi za nabii Suleiman.. Ni holy stone sio la muhamad limelindwa vizazi na vizazi.
ili jiwe Kuna mwamba anaitwa alkurmti alienda kwenye nyumba ya Allah akalichukua jiwe mnalolibusu akaenda kulifanya jiwe la chooni analinyea badae mkamuonga mkalirudisha maka na leo ndio manalibusu?
 
Kwamba ni mojawapo ya masanamu yaliyotengenezwa ma majini kipindi Cha muislamu selemani?

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Mtume anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]
Muislamu anapojaaliwa kwenda 'Umrah au Hajj anapofanya twawaaf ni vyema kulibusu au kuligusa akipata nafasi tu. Na ikiwa ni zahma kubwa ya watu basi haimpasi.Inatosha kunyanyua mkono wake wa kulia kwa mbali na kusema 'Allaahu Akbar'.

Endelea pale ulipoishia sio kusoma juuu juu tu.
 
ili jiwe Kuna mwamba anaitwa alkurmti alienda kwenye nyumba ya Allah akalichukua jiwe mnalolibusu akaenda kulifanya jiwe la chooni analinyea badae mkamuonga mkalirudisha maka na leo ndio manalibusu?
Ni historia tu na ni narration halina uhusiano wowote na utukufu wa Mungu soma mpaka mwisho iyo Aya ulizokuwa unaandika ndo utajua ..

"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Mtume anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]
Muislamu anapojaaliwa kwenda 'Umrah au Hajj anapofanya twawaaf ni vyema kulibusu au kuligusa akipata nafasi. Na ikiwa ni zahma kubwa ya watu basi haimpasi.Inatosha kunyanyua mkono wake wa kulia kwa mbali na kusema 'Allaahu Akbar'.
 
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Mtume anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]
Kati ya Umar aliedharau jiwe na muhammad yupo unamfuata

Huyu muhammad
  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Jiwe ni tofauti , unaua ,unabaka , ukienda akalibusu au kulipungia tu dhambi zako zinafyonzwa na jiwe na Allah anasema lilikuwa jeupe ila dhambi inazozifyonza inalifanya linakuwa jeusi
Jiwe lilikuwa la milk wakimaanisha ile nyeupe ya kung'ara sasa kwa sababu ya dhambi za watu wanaokuja pale kutouch ndo likawa Jeusi umenielewa!! kushika na binadamu weny dhambi ndo likawa vile ila halina uhusiano wowote na Mungu na sio lazima .

Hii inamaanisha nn watu wengi Wana dhambi sio kwa dini fulani ni wote hawa pope au Mufti so wanapogusa kutokana na dhambi za binadamu wote tunazo ndo maana likawa jeusi kutokana na hadithi uliyoquotes.

Naomba uleta andiko la qur an kabisa maana hayo ndo maneno ya Allah.
 
Ni historia tu na ni narration halina uhusiano wowote na utukufu wa Mungu
Alkurmuti alilinyea hili jiwe kwa miaka mingi mkaenda kumuonga akawarudishia vi kokoto ndio mnavyo mpaka Leo na mnabusu
 
Kati ya Umar aliedharau jiwe na muhammad yupo unamfuata

Huyu muhammad
  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah na jiwe hilo.Na wasiokuwa waislamu haijuzu kwao kuwazulia waislamu juu ya jiwe hilo kinyume na maelezo ya hadithi .

Ukiachana na jiwe tu hata viungo vya mwili siku ya Qiyama vitakuwa na uhai wa kuongea kama miguu ,mdogo, macho, ulimi kama uliipeleka kweny madhambi.
 
Alkurmuti alilinyea hili jiwe kwa miaka mingi mkaenda kumuonga akawarudishia vi kokoto ndio mnavyo mpaka Leo na mnabusu
Leta historia yake hilo jiwe no hadithi ambazo zona narration ila soma kule mwanzo kabisa utajua limtokea wapi?
 
Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah na jiwe hilo.Na wasiokuwa waislamu haijuzu kwao kuwazulia waislamu juu ya jiwe hilo kinyume na maelezo ya hadithi .

Ukiachana na jiwe tu hata viungo vya mwili siku ya Qiyama vitakuwa na uhai wa kuongea kama miguu ,mdogo, macho, ulimi kama uliipeleka kweny madhambi.
Nimekuuliza Kati Umar aliedharau jiwe na muhammad nani unamfuata
Umar kasema jiwe halina maana
Na muhammad kasema linafuta dhambi nani mkweli?
 
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) na jiwe hilo kama alivyosema 'Umar ibnil-Khatwaab (Radhwiya Allaahu 'anhu) alipolibusu:

"إني أعلم أنك حجر لا تضر ولا تنفع ‏ ‏ولولا أني رأيت النبي ‏ ‏صلى الله عليه وسلم ‏ ‏يقبلك ما قبلتك" البخاري

"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy].
 
Kwanza picha linaanza wewe ni mkristu....? Kama sio waachie wenyewe wakristo Mambo Yao.......endelea na kujifunza kiarabu chako.......ambacho akikusaidii kitu
 
Leta historia yake hilo jiwe no hadithi ambazo zona narration ila soma kule mwanzo kabisa utajua limtokea wapi?
History ya alkurmuti ipo alivamia Kaaba akaua waislamu ma elfu akalichukua jiwe akaenda kuliweka chooni akawa analinyea , akawa anasema Allah ajitokeze , amekaa na jiwe miaka mingi zaidi ya 20 waislamu wakatafuta pesa wakaenda kumuonga akawarudishia limebaki vi kokoto vipo 8
 
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) na jiwe hilo kama alivyosema 'Umar ibnil-Khatwaab (Radhwiya Allaahu 'anhu) alipolibusu:

"إني أعلم أنك حجر لا تضر ولا تنفع ‏ ‏ولولا أني رأيت النبي ‏ ‏صلى الله عليه وسلم ‏ ‏يقبلك ما قبلتك" البخاري

"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy].
Kwa maana hiyo wewe unampinga muhammad aliesema jiwe linafuta dhambi?
 
History ya alkurmuti ipo alivamia Kaaba akaua waislamu ma elfu akalichukua jiwe akaenda kuliweka chooni akawa analinyea , akawa anasema Allah ajitokeze , amekaa na jiwe miaka mingi zaidi ya 20 waislamu wakatafuta pesa wakaenda kumuonga akawarudishia limebaki vi kokoto vipo 8
😂😂😂😂😂
 
Kwa maana hiyo wewe unampinga muhammad aliesema jiwe linafuta dhambi?
Funganisha na Qur an leta Aya kweny qur an kuhusu kaabah..

Note: iwe hadithi au Sunnah ikipingana na Qur an ujue ni batili hamna haja ya kuangalia mara 2.

Twende kweny Qur an Haina shaka ndani yake .
 
Wewe umeweka Hadith Umar akisema jiwe halinufaishi
Nimekuuliza Kati ya umar aliesema jiwe halinufaishi na Muhammad aliesema Lina manufaa nani mkweli?
 
Kwani wewe umetoa wapi na nimefanya muendelezo wa hadithi uliyoleta? Kwa nn unelata mambo nusu nusu soma hyo hadithi mwanzo mpaka mwisho.
 
Tuanzie hapa
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
Je utaungana na Umar Alie sema halina manufaa?
 
😂😂😂Hii Aya nishakuambia kwamba hilo jiwe kwanza limekuwa Jeusi kwa dhambi za binadamu.

Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.

Tunaposema litakuwa na mdomo sijui pia tunamaanjsha Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaa na jiwe hilo.Na wasiokuwa waislamu haijuzu kwao kuwazulia waislamu juu ya jiwe hilo kinyume na maelezo yaliyomo kwenye hadithi tulizozitaja.
 'Umar ibnul-Khatwaab.

Means lilikuwepo na ukisoma mwanzo utajua limetoa wapi usisome nusu nusu then nenda mpaka mwisho ya hiyo hadithi ndo utajua halina uhusiano wowote na mamlaka ya Mungu
 
Back
Top Bottom