Jiwe jeusi ni Yakuti nyeupe katika yakuti za Peponi,na kwa hakika limekuwa jeusi kwa makosa ya washirikina.Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah na jiwe hilo.Na wasiokuwa waislamu haijuzu kwao kuwazulia waislamu juu ya jiwe hilo kinyume na maelezo ya hadithi .
Ukiachana na jiwe tu hata viungo vya mwili siku ya Qiyama vitakuwa na uhai wa kuongea kama miguu ,mdogo, macho, ulimi kama uliipeleka kweny madhambi.