Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Case closed [emoji359][emoji359][emoji359]
 
Wewe kusoma na kuandika ulijifunza mwenyewe[emoji2]
 
Walimu hawana mishahara midogo. Walimu ni Watumishi wa umma ambao wanazidiwa mishahara na kada za Afya, Engineering na Mawakili pekee.j
Watumishi wengi viposho wanavyopata Ni Tsh 30,000 na hupati Kila siku.

Walimu wanna muda mwingi sana lakini wanashindwa kuutumia
Safari labda unaongelea wakuu wa idara. Kada gani wanna Safari?
Hili Ni kwa Watumishi wengi wa umma
Hili nakubali
 
Hapana hauko sahihi..
Mwalimu mwenye Degree akianza Kazi leo analipwa TGTS D1 = 710,000/= CCM wakikata anabaki na 545,000/=

Mwenye Diploma ni 450,000 (TGTS E1)
CCM wakikata anabaki na 415,000/=

#YNWA
Kwenye hiyo 545,000 toa deni la hslb laki moja.
 
wajinga hao,ndiyo wanakufundishia mwanao!Real?
Ukweli mchungu walimu wengi wanapenda Majungu kuliko kujituma na Ni wanafiki Sana...Mimi Ni mwalimu ...Nimewapiga pin Mwenyezi Mungu anaisamehe tu..badala ya kujituma kufanyakazi wapo bize na nifaaq na kusengenyana..
 
Wengi waliosoma fani nyingine wamehamishwa/wamehama. Ni suala la kuchukua maamuzi bila kuchelewa.
 
Hapana hauko sahihi..
Mwalimu mwenye Degree akianza Kazi leo analipwa TGTS D1 = 710,000/= CCM wakikata anabaki na 545,000/=

Mwenye Diploma ni 450,000 (TGTS E1)
CCM wakikata anabaki na 415,000/=

#YNWA
Hauko sahihi.

Mwalimu mwenye shahada analipwa 716,000 take home bila bodi Ni 596,000.

Mwalimu mwenye shahada kwa Science anaanza na 750,000.

Diploma Ni Tsh 545,000 kwa Science na 535,000 kwa arts.

Grade A Ni 419,000.
 
Sijawahi kuona mtua aliyefeli amekuwa Mwalimu, hizi sasa chuki
 
Walimu shule nyingi zipo vijijini sana ndan ndani huko ambako ndiko kuna dumaza walimu kiuchum kutokana na kutokuwa na fursa za kiuchumi lakini pia kuzungukwa na wanavijiji wasio na elimu
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Shida ipo hapa. Mkitajirika ninyi mtatajirisha koo zenu hivyo CCM kuwa kwenye hatari ya kung'oka madarakani. Ukitaka umtawale mtu,mfanye awe 'zuzu' na 'fukara'. Kwisha!.
 
Umetiririka vema sana mchokoza mada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…