Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

Namba tano ndiyo sababu kuu.

Sasa kama mtu unaona kabisa hakuna dalili ya kuongezwa mshahara au posho, kwa nini usijiongeze hata kwa kufungua genge la nyanya?



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tuma hapa hapa kwenye jukwaa,dm kufanya nini? Kwani mada iko dm hii?
Ingia instagram, chalii mimi nalima sana, nafu
 
Ingia instagram, chalii mimi nalima sana, nafu
Walimu kiujumla Wana mishahara mikubwa sawa tuu na watu wa sekta ya Afya..

Tofauti na kada zingine zenye salary ndogo wao Wana Kazi za masaa ya ziada na posho kwa vile nature ya Kazi zao ni operations zaidi so hapo ndipo wanapigia pesa.

Wewe kama uko kijijini unalima utakuwa vizuri ila wengi wa mjini ni njaa kali 😆😄
 
Sijawahi kuona mtua aliyefeli amekuwa Mwalimu, hizi sasa chuki
tutajie waalimu hata wawili waliopata division one form four au form six. ondoa wale wa degree ambao ni wachache. ni waalimu wangapi wanaofaulu wanaofundisha primary court leo hii? au hata sekondari. usikimbie ukweli. siwacheki kwamba ni failures hapana, najaribu kuweka wazi ili pengine uthamani wenu uwepo, serikali iweke mishahara mikubwa ili hata wale waliofaulu wakasomee uwalimu kama nchi zingine. unajua nchi kama scandinavians waalimu wanalipwa mshahara mzuri hadi watu wanapambana wawe waalimu? sio hapa. hapa bongo ukifeli kila kitu ndio unaenda kusomea ualimu. ndio maana mnakuwa na hasira sana na hasira za wivu na kushindwa mnazirushia kwa watoto wetu. pamoja na kwamba, inauma kwasababu wengien wamefeli sio kwamba hawana akili bali ni kwasababu wazazi wao hawakuwa na uwezo kuwapa mahitaji ya kufanay wafaulu. Mungu awasaidie.
 
[emoji16][emoji16] Yani mimi nikutajie walimu wawili waliopata division one form four au form six, utawajua? Nikikwambia unatumia chuki kutoa maoni utakataa? BTW;

Kinachomfanya akafundishe sio division four yake ya form four, ni kozi ya ualimu aliyoenda kusomea, na huwa hamsemi ukweli, tazama mimi na wewe nani ana skip ukweli,

Serikali inachukua kuanzia division I-IV kwenda kusomea ualimu, kwa maana ya kurahisha access ya kozi za elimu ninyi mmeng'ang'ania waliofeli, sijui mnawaza nini haswa!!! [emoji2]

Lini serikali ilitangaza waliofeli wakasomee ualimu? Mbona hamna haya? Najua ni wingi wa walimu ndio mnaleta ujuaji, kuhisi mnafahamu kila kitu kutuhusu (Teacher Btw)

Umetaja kuhusu Scandinavian belt, [emoji1] ulivo na chuki, unafananisha ukanda ambao civilization ilianza miaka 500 iliyopita na nchi yenye nusu karne, Tanzania ina changamoto ya upatikanaji wa walimu, azimio la Musoma 1974, lilinuwia kutatua changamoto ya walimu, bad enough hata wewe unakuta ni product ya walimu kama wa UPE, leo umezaa watoto wako na ku entrust kwa walimu unaanza kelele, what grudges have you guys loaded with, mbona kama mnaumia sana [emoji2]
 
hivi maneno yote haya ni kwamba unataka kumwaminisha nani kwamba ualimu sio kozi ya kusomea ukishindwa kupata course bora, na course bora zinapatikana ukifaulu vyema? ni nani hajui reality hiyo.
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
 
Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
Acha kazi ya kuajiriwa
Watumishi wote wa serikali ni masikini
 
Namba 4 ndiyo sababu
 
Rais gani uyo?
 
Kweli umenena buddah
 
Unajua mchumi aliyeajiriwa halmashauri ya Wilaya analipwa sh ngapi?
 
Kuna jmaa angu mmoja Ni finance manager wa kampuni moja hapa dsm anakunja milion 13 kwa mwez

Form 4 alipat two

Form six pcb kale zake 3.16

Chuo kasoma hvyo hvyo kibishi

Kapata CPA kimazabe sna

Sas HV Ni finance manager
Akikunja milioni 13 kwa mwezi

Jmn mwalimu wafikiriwe Sana marafiki zangu huwa Ni walimu wako very fixed Sana awezi kukukopesha
 
hivi maneno yote haya ni kwamba unataka kumwaminisha nani kwamba ualimu sio kozi ya kusomea ukishindwa kupata course bora, na course bora zinapatikana ukifaulu vyema? ni nani hajui reality hiyo.
Acha u much know na utoto wewe! Kwako wewe course bora za kusomea ni zipi? Kwa taarifa yako maisha ni akili, na wala siyo Course unayo somea chuoni.

Yaani unawaponda watu walio kufundisha kusoma na kuandika! Kisa tu wewe hufanyi hiyo kazi! Inawezekana kwa akili yako kila mtu kwenda kusomea course ya aina moja chuoni, kisa ina mshahara mkubwa? Na hiyo course unaweza kuitaja hapa?

Huwa nakerwa sana na watoto wapuuzi kama wewe.
 
kama maisha ni akili, somesha watoto wako wote wawe waalimu ili watumie akili. kuwa realistic kidogo basi. sio kwamba nawacheka waalimu ila najaribu kumulika pengine mtakumbukwa hata kwenye maslahi tu.
 
hivi maneno yote haya ni kwamba unataka kumwaminisha nani kwamba ualimu sio kozi ya kusomea ukishindwa kupata course bora, na course bora zinapatikana ukifaulu vyema? ni nani hajui reality hiyo.
[emoji2960][emoji16] hii ina maana kwamba Ualimu sio kozi bora?, come on man!! Stay matured aisee, hivi huoni kama ualimu ulirahisishwa kimkakati? Huoni kama waliotaka kusomea ualimu walipewa kipaumbele cha mikopo, yani na uelewa wako unashindwa kujua kama haya yote yaliwekwa strategically?

Elimu ni kipaumbele cha dunia nzima, lazima kuwepo na walimu wa kutosha kwa ajili ya ku kuboresha upatikanaji wa elimu, ila kwa kuwa hamkutaka kuelewa kwamba serikali sio wapumbavu waweke ualimu rahisi kuingilika, the matured minds, can understand my take. Kozi haiwezi kuwa rahisi kupatikana halafu ikawa na kipaumbele cha mikopo [emoji16] we umeona wapi!!! Watu tunakaa kimya kwa sababu waliokula matangopori mpo wengi, na hatuwezi kuwashinda kwa makelele yenu, ika tukipata mwanya tutawaambia.
 
naomba nisitishe mjadala huu na wewe, nisije nikakufuru. ila ukweli unaujua. thanks and bye.
 
kama maisha ni akili, somesha watoto wako wote wawe waalimu ili watumie akili. kuwa realistic kidogo basi. sio kwamba nawacheka waalimu ila najaribu kumulika pengine mtakumbukwa hata kwenye maslahi tu.
Ungeanza wewe kuwa realistic kwanza, hatukatai kuwa maslahi ya walimu yapo nyuma, na hatuwezi kukataa kwamba serikali haiwezi (na hatuna hiyo serikali) kuboresha maslahi ya wafanyakazi 300k+ kwa kuwawekea allowances kwa wakati mmoja, hakuna serikali hiyo barani Africa.


Kwa kulijua hilo, walimu tutapigania tu professionalism iheshimiwe. Changamoto ni watu kama nyie tu, mnaodhani heshima pekee kwa mfanyakazi ni hela anayoingiza kwa mwezi, naomba nivae niaba ya walimu waliokufundisha, kwamba, tunasikitika sana. [emoji16]
 
naomba nisitishe mjadala huu na wewe, nisije nikakufuru. ila ukweli unaujua. thanks and bye.
Nashukuru kwa kunielewa. Nasikitika kwa kutokiri ya kuwa umeelewa. [emoji4][emoji485]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…