Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

Mwanajeshi mwenye cheo kuanzia nyota moja huwa wanajitambua kuna hawa vijana hasa form 4 leavers, ndio malimbukeni hasaa! Hawajui kuwa siku hizi ubabe umeishaa
 
Kesi ya mwanajeshi usipeleke polisi hata Mara moja, polisi Wana tabia ya kuwaogopa.
Wanajeshi wameapa kiapo cha utii wa Sheria za nchi hivyo ni kosa kubwa wao kuvunja hizo Sheria. Siku nyingine ulipata tatizo karipoti jeshini, Wana mahakama zao na tofauti na kada nyingine huwa hawalindani. Kabla ya kumpeleka mwambie.kabisa usiponilipa naenda kukushitaki ofisini kwako atakulipa haraka maana anajua kesi ikishafika balaa lake ni kubwa.
 
Usifanye ivo Kwa sababu ya mwanamke....siye hatuaminiki
Hamna nyie mna haaminika ndo maana mna tuzaa na mnatupenda saana bila nyie sisi tusingekuwepo duniani mimi nilimkuta jamaa yupo dukani na mke wangu anamlazimisha kukopa akamkopesha ile anatoka nje kufungua friji ampe soda akamgusa makalio asee nikivo ona kwanza alishtuka nikaenda kumpiga ngumi moja nzito hadi akatoa damu ulikuwa ugomvi mkubwa mno yaani
 
Mimi nilienda hadi mgulani pale lakini wapi wanamtetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…