Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

Bro wewe utakua "age go Sana"... Mama Samia ni dada kwako?
Mimi sio "age go sana", ila nina makaka na dada wanampita mbali na wengine wanalingana na huyo SHH.

Hivi wewe huoni kuna shida sehemu mtu kama Mbowe au Lissu kumuita SSH mama??

Nimekataa huo mkumbo, kwakua anapendwa kuitwa mama badala ya Rais basi mimi nitamwita dada.
 
Facts tupu
 
Kazi ipoo.....
 
Wewe akili huna, in public between leader hata Kenyatta anamuita Samia dada yangu.

Sasa imagine kinchi tumuite Rais wetu Dada Samia badala ya mama Samia?

Aisee siipendi ccm lakini chuki zako binafsi zimekutia upofu na ukapofuka haswaa.

Na nikukere vizuri mama yupo madarakani mpaka 2030 kwa kibali cha afya njema na uhai tu kutoka kwa Mungu lakini otherwise hakuna cha kuzuia hilo lisitokee.

Tuache ulalamishi someni mchezo watu wanakulaje na nyinyi muwe connected.
 
🀣🀣🀣sina komenti
 
wewe ndio sio ccm? huipendi? mmh
 
Ni wajinga lakini pia ni athari za dikteta uchwara kudhibiti taarifa na kuwaaminiaha ujinga.

Hii ndiyo Hali pia iliyojitokeza kipindi cha Nyerere na kuwaathiri viongozi waliofuatia.

Mwisho,ukichukua leo utendaji wa Samia mwaka 1 vs Mwendazake mwaka 1 ,Samia kampita mbali Mwendazake.
 
Mama ni jina la heshima tu haimanishi kuwa anaweza kukuzaa
 
nisiwe mnafiki,mimi niliogopa sana Makamba na Riz1 kuwa mawaziri wizara vyeti
Kwenye siasa kuna Cartel, hata wewe tukikupa madaraka leo huwezi kuwatosa wana.

Magufuli alifanya hivyohivyo pia kuwajaza kanda ya ziwa

Dr Slaa akiwa katibu mkuu wa Chadema kazi za kutangazwa tenda za kutengeneza software alikuwa akimpa demu wake Josephine Mushumbushi, hadi ID ya Dr slaa hapa JF akawa anaitumia Josephine na watu wakamdharau kabisa Dr.
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Hiyo awamu ya sita nani aliipigia kura
 
Wananchi tuna imani Sana, na awamu ya sita. Walio kwenye mtandao, sio watanzania, watanzania, au mtanzania lakini mvivu wa kufanyakazi, anasubiri aletewa alipo.Fanyakazi acha kulia lia.
 
Viongozi wa awamu ya sita waelewe kuwa wanao watawala wanaishi katika dunia ya utandawazi. Wanaona yanayotokea Ghana, Indonesia, Kenya na maziri yake wangependa yatokee Tanzania.

Siasa za propaganda zilishapitwa na wakati.
Acha kulia lia Fanyakazi.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…