Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mimi sio "age go sana", ila nina makaka na dada wanampita mbali na wengine wanalingana na huyo SHH.Bro wewe utakua "age go Sana"... Mama Samia ni dada kwako?
Hivi wewe huoni kuna shida sehemu mtu kama Mbowe au Lissu kumuita SSH mama??
Nimekataa huo mkumbo, kwakua anapendwa kuitwa mama badala ya Rais basi mimi nitamwita dada.