Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Tatizo imekua na Ntu ya Dili wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Porojo ndio. Kwani unaowadhania wangefanya nini cha tofauti.Kupanda kwa hali ya maisha ni porojo?wewe jamaa upo Tanganyika ama?
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu umeeleza vzr ila umeharibu mwishoni, hakuna mahusiano Katii ya Katiba mpya NA watu kuprotest kinachoendelea,Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao wanahisi kuibiwa ibiwa tu.
Hali hii pia ipo katika maisha ya kawaida. Wameweka imani ndogo sana na uongozi wa mama.
Hali hii inachochewa sana na serikali kupinga katiba mpya. Wananchi wanajiuliza kwa nini hawataki katiba mpya, au wanataka wakiiba wasiulizwe?
Eti jamani kwa nini raia wamekataa mkao wa kuibiwa tu?
Usinilazimishe nimuite Mama, nisipomuita dada basi nitamuita RAIS hiyo inatosha.Wewe akili huna, in public between leader hata Kenyatta anamuita Samia dada yangu.
Sasa imagine kinchi tumuite Rais wetu Dada Samia badala ya mama Samia?
Aisee siipendi ccm lakini chuki zako binafsi zimekutia upofu na ukapofuka haswaa.
Na nikukere vizuri mama yupo madarakani mpaka 2030 kwa kibali cha afya njema na uhai tu kutoka kwa Mungu lakini otherwise hakuna cha kuzuia hilo lisitokee.
Tuache ulalamishi someni mchezo watu wanakulaje na nyinyi muwe connected.
Huyo mnemuita mama mwenyewe bado anahangaika na mitandao, labda kama umezoea kukutana na wazee wasiokuwa na kipato.Basi achana na mitandao, LEA WAJUKUU kama umebahatika kupata.
Sasa ndugu kuna sehemu yoyote ile nimesema huyo dada atatoka madarakani? Yeye akae hata mpaka mwisho wa dunia mimi itanihusu nini??Wewe akili huna, in public between leader hata Kenyatta anamuita Samia dada yangu.
Sasa imagine kinchi tumuite Rais wetu Dada Samia badala ya mama Samia?
Aisee siipendi ccm lakini chuki zako binafsi zimekutia upofu na ukapofuka haswaa.
Na nikukere vizuri mama yupo madarakani mpaka 2030 kwa kibali cha afya njema na uhai tu kutoka kwa Mungu lakini otherwise hakuna cha kuzuia hilo lisitokee.
Tuache ulalamishi someni mchezo watu wanakulaje na nyinyi muwe connected.
Nimekataa kumpa hiyo heshima, kwangu mimi atabaki kuwa RAIS.Mama ni jina la heshima tu haimanishi kuwa anaweza kukuzaa
Mkuu mimi binafsi nikilinganisha na tulipotoka (2015-2021) naona kuna afadhali kidogo. Kipindi cha mwendazake hata kuandika thread ya muundo huu ilikuwa unajiuliza mara mbilimbili.Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao wanahisi kuibiwa ibiwa tu.
Hali hii pia ipo katika maisha ya kawaida. Wameweka imani ndogo sana na uongozi wa mama.
Hali hii inachochewa sana na serikali kupinga katiba mpya. Wananchi wanajiuliza kwa nini hawataki katiba mpya, au wanataka wakiiba wasiulizwe?
Eti jamani kwa nini raia wamekataa mkao wa kuibiwa tu?
Wananchi msiwe na imani, tuwacheni wenyenchi tuwe na imani. Awamu yenu ilienda na "bwana yule".Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao wanahisi kuibiwa ibiwa tu.
Hali hii pia ipo katika maisha ya kawaida. Wameweka imani ndogo sana na uongozi wa mama.
Hali hii inachochewa sana na serikali kupinga katiba mpya. Wananchi wanajiuliza kwa nini hawataki katiba mpya, au wanataka wakiiba wasiulizwe?
Eti jamani kwa nini raia wamekataa mkao wa kuibiwa tu?
Yapi hayo yanayotokea?Viongozi wa awamu ya sita waelewe kuwa wanao watawala wanaishi katika dunia ya utandawazi. Wanaona yanayotokea Ghana, Indonesia, Kenya na mazuri yake wangependa yatokee Tanzania.
Siasa za propaganda zilishapitwa na wakati.
Sasa kwani Mwendazake ndio kipimo cha kufaa au kutofaa kwa mtu?Picha linaanza..wale waliotumbuliwa kipindi cha magu kwa kuonekana hawafai na hawana weredi..wote wamerudishwa mzigoni..pia yule mtoto wa kubwa ambaye alisifika sana kwa dili na kuuza nchi yupo mzigoni.
Serikali kutwa kutembeza bakuli..wakuambiwa wasitembeze bakuli wanakuNdugai.
Kingine porojo nyingi sana..kila kukicha hasa upande wa wizara ya mwezi wa kwanza.
Hali ya maisha haishikiki hali si swali..ila serikali inakuja na propaganda na vichaka vya kujificha ambavyo ni kovidi na vita vya urusi.
#MaendeleoHayanaChama
Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa kimashaka-mashaka tu hivi. Kila serikali ikisema hivi kuhusu matumizi ya fedha na miradi basi wao wanahisi kuibiwa ibiwa tu.
Hali hii pia ipo katika maisha ya kawaida. Wameweka imani ndogo sana na uongozi wa mama.
Hali hii inachochewa sana na serikali kupinga katiba mpya. Wananchi wanajiuliza kwa nini hawataki katiba mpya, au wanataka wakiiba wasiulizwe?
Eti jamani kwa nini raia wamekataa mkao wa kuibiwa tu?
Sio tuu aliwajaza bali aliwaleta karibu walioitwa mafisadi akiwemo Rostam Aziz.Kwenye siasa kuna Cartel, hata wewe tukikupa madaraka leo huwezi kuwatosa wana.
Magufuli alifanya hivyohivyo pia kuwajaza kanda ya ziwa
Dr Slaa akiwa katibu mkuu wa Chadema kazi za kutangazwa tenda za kutengeneza software alikuwa akimpa demu wake Josephine Mushumbushi, hadi ID ya Dr slaa hapa JF akawa anaitumia Josephine na watu wakamdharau kabisa Dr.
Roho zitawauma sana, mama ndiyo kaona wanafaa na anayajuwa kiundani yote ya awamu iliyopita.Makamba na nape ndo tatizo huwezi kukaa na hao watu waliokosea huko nyumba et ndo wawe washauri wako kwenye carbinati hii ni dharau kwa watanzania