Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake.

Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je Manyarq haina watu?

Kwamba Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu?

Ukiniondoa mimi Tz raia wake ni waigazaji mpaka msaba halisi watu watazimia huku wameshikilia vifungashio.
 
Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake.

Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je Manyarq haina watu?

Kwamba Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu?

Chongolo kafunga kazi juzi Sumbawanga. Sijawahi kuona Mkutano wa hadhara wahudhuriaji wanalipwa 2000 na Mbunge ndo nimeiona Sumbawanga. Vijana wa stendi Kuu wamepewa jezi za kijani na 5000 ili wakashangilie, walivyorudi Stendi wakapewa jina la "WAUZA BANDARI" wakazivua.
 
Steve nyerere anakula mema ya nchi.
Ni vile anaongea pumba siku zote, angekuwa na akili angeshafika mbali.
 
elderly-african-woman.jpg

Dhiki hii mpaka lini? Na Chawa wanachezea Kodi.
 
Kijana wa kiume fanya mbinu upambane na mfumuko wa bei kivyako. Unakuwa kila kitu "maaa' "maaa" mpaka aje kukufanyia mama? Ebooo, namna gani kijana?
[emoji38] we kweli mtoto wa kariakoo
Mbona una madongo hivyo

Ova
 
Nipo hapa uwanja wa kwaraa mjini babati nikiangalia final touches za maandalizi ya kuzima mwenge hakika manyara inameremetaa. Manyara oyee ccm oyeee.
 
Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake.

Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je Manyarq haina watu?

Kwamba Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu?

Hizo tisheti zimeandikwaje?
 
Nikiwa na hela nyingi nitatafuta suruali kama steve nyerere.

Anyway hivi huyo steve ana cheo gani serikalini siku hizi?
 
Back
Top Bottom