Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Chawa wa mamaWivu tu!
Chawa wa baba
Chawa wa familia
Chawa wa ukoo
Chawa wa taifa
Hawa wote walikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa mamaWivu tu!
Duuh kikosi kaziNatambua kwamba Mh Rais Samia Ph.D , anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara , hongera kwake na kwa Wenyeji wake .
Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam ! jambo hili kwangu ni geni mno , Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar , Je Manyarq haina watu ?
Kwamba Mh Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu ?
View attachment 2780989View attachment 2780990View attachment 2780992View attachment 2780994
Anayelalama yupo songwe sisi watu wa manyara hatujasema kitu!
Kuwa chawa kuna raha yakeChawa wa mama
Chawa wa baba
Chawa wa familia
Chawa wa ukoo
Chawa wa taifa
Hawa wote walikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana wa kiume fanya mbinu upambane na mfumuko wa bei kivyako. Unakuwa kila kitu "maaa' "maaa" mpaka aje kukufanyia mama? Ebooo, namna gani kijana?Huku mtaani mfumuko wa bei unatishaa! Wacha inyeshe tuone panapovujaa!
Umesoma vyema ulichoandika?Kumbe hata huelewi wanazikimbilia fursa za kuonana na mama?
Watu wakielewa tu mama ana ziara ya huku au kule, wanawahi mapema kabisa, hata mimi nikisikia na nikiwa na jambo langu nawahi kabisa, huko ndiyo pa kumpata kiwepesi.
Unafikiri ni wepesi kupata appointment Ikulu Dodoma au Dar? Utasota, tena unaweza kufanya appointment Dar ukapigiwa siku moja au mbili kabla ukaulizwa unaweza kwenda Mtwara, huko unaweza kumpata keshokutwa tutakuwekea slot yako kabla ziara hazijaanza. Ukiweza unakwenda au unawaambia mie ntasubiri mpaka nimpate hapahapa tu.
Ziara hizo zina faida sana. Mwenyewe saa nyingine anasangaa, akikuona anakuuliza, na wewe upo hapa? Hapana mama nimekuja kukuona wewe, una shida gani? Unamwagika hapo kwa raha zao.
Kitu nnachompendea mama Samia, hajawahi kukataa shida au ombi la mtu hata iweje, labda liwe halipo kabisa kwenye uwezo wake, nalo pia atakwambia ukweli, hili inabidi nilifatilie hivi na hivi, lakini utatafutwa. Basi ujuwe kweli atalifanyia kazi tena wakati huohuo, hana ngoja baadae huyo.
Mama samia Mweyezi Mungu amzidishie hekima maarifa na upendo alionao kwa Tanzania.
Jinsi anavyochapa kazi huyu mama, mpaka vijana wenyewe wanashika kiuno, muulizeni Zuhura Yunus, anaipatapata. Mie nadhani huyu mama Ma shaa Allah ni nusu robot.
Kwamba ili kusaidiwa nchi hii ni mpaka uonane na Rais ?
Acha uongo wewe, basi kusingekuwepo na watendaji wengine. Muongo sana wewe Ajuza.Sikiliza kijana, hakuna mtu anayetafutwa kuonana na watu Tanzania hii zaidi ya Rais. Na hii si Tanzania tu, karibia nchi zote duniani ni hivyohivyo.
Watu wana mambo yao mbalimbali, usifikiri wewe kwa kuwa yako yanaweza kuishia hukuhuku mitaani basi wote ni hivyo hivyo.
Sijasoma, nimeandika tu. Tatizo nini?Umesoma vyema ulichoandika?
Ajuza ana ashk majinun huyu ajielewiAcha uongo wewe, basi kusingekuwepo na watendaji wengine. Muongo sana wewe Ajuza.
Kwani ulikatazwa kuwaona watendaji wengine? Sasa uongo uko wapi hapo?Acha uongo wewe, basi kusingekuwepo na watendaji wengine. Muongo sana wewe Ajuza.
Siyo ashk majnun, ashk madhulum.Ajuza ana ashk majinun huyu ajielewi
"Maisha ya dhiki wanayopitia waTanzania"?Mama amezungukwa na Machawa sijui kama anajua hali halisi ya Maisha ya dhiki wanayopitia Watanzania
Njoo nikukuneee zitokeSiyo ashk majnun, ashk madhulum.
Leila Majnun.
Daah aisee inauma snMama amezungukwa na Machawa sijui kama anajua hali halisi ya Maisha ya dhiki wanayopitia Watanzania
Sasa wewe ulitaka apokelewe na akina Dr. Slaa?Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake.
Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je Manyarq haina watu?
Kwamba Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu?
View attachment 2780989View attachment 2780990View attachment 2780992View attachment 2780994
Tafadhali Fanya adabu kidogo.Njoo nikukuneee zitoke
Ndoto za alinacha.hakuna katiba wala tume huru,hakuna uchaguzi.patamu hapoHiyo ni trela tu tena isiyokoma,
yaani ni none stop hadi 2035 wakati wa picha Kamili.
Dah kuna watu mnakera. Hao ni kunguni wanyonya damu sisi ni chawa