Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake.

Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je Manyarq haina watu?

Kwamba Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu?

Naona Steve Nyerere ameanza kula matunda ya Uchawa tangu Mama Samia achukue uongozi mwaka 2021.

Na ndiyo atatumika kuratibu suala la Wasanii kuipigia Kampeni CCM na Mama Samia 2025.

Anyway, sio vizuri kuongea wakati wa kula 🤗
 
Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake.

Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je Manyarq haina watu?

Kwamba Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu?

Hali ni mbaya sana kwa mama Abdul.
 
Ila aka kamtu kafupi huwa kanajiona kama ni first Born wa Mama Abdul kumbe Chawa tu.Wanaume tutafute sana pesa na kwa wale wenye familia tuhakikishe watoto wetu wanasoma kwa namna yoyote Ile na siyo kunukuru elimu.
Yaani hii kitu ya Wanaume kujidharirisha kwasababu ya njaa imekuwa ni kama Utamaduni unaojengeka kwa kasi sana!
God have mercy upon us!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Chongolo kafunga kazi juzi Sumbawanga. Sijawahi kuona Mkutano wa hadhara wahudhuriaji wanalipwa 2000 na Mbunge ndo nimeiona Sumbawanga. Vijana wa stendi Kuu wamepewa jezi za kijani na 5000 ili wakashangilie, walivyorudi Stendi wakapewa jina la "WAUZA BANDARI" wakazivua.
😆😆😆😆
 
Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake.

Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je Manyarq haina watu?

Kwamba Rais naye ameamua kusomba Watu kama anavyofanya Chongolo ili kuongeza Uwingi wa watu?

Hana mvuto maza hata kidogo
 
Back
Top Bottom