Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

BWANA yupo kazini. Jiandaeni kabla ya 2025 au punde baada ya 2025 mtaona atakachofanya BWANA! Waovu hawana nafasi kwa nchi
Utaondoka wewe kabla ya hiyo 2025 kamwe usimtamanie mwenzio jambo baya
 
Naona Steve Nyerere ameanza kula matunda ya Uchawa tangu Mama Samia achukue uongozi mwaka 2021.

Na ndiyo atatumika kuratibu suala la Wasanii kuipigia Kampeni CCM na Mama Samia 2025.

Anyway, sio vizuri kuongea wakati wa kula πŸ€—
 
Hali ni mbaya sana kwa mama Abdul.
 
Ila aka kamtu kafupi huwa kanajiona kama ni first Born wa Mama Abdul kumbe Chawa tu.Wanaume tutafute sana pesa na kwa wale wenye familia tuhakikishe watoto wetu wanasoma kwa namna yoyote Ile na siyo kunukuru elimu.
Yaani hii kitu ya Wanaume kujidharirisha kwasababu ya njaa imekuwa ni kama Utamaduni unaojengeka kwa kasi sana!
God have mercy upon us!


Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hana mvuto maza hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…