Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
- Thread starter
-
- #81
Sema wakristo hawana elimu ya kuchinjaSi kwamba Wakristo awaruhusiwi kuchinja, Waislamu awali nyama isiyotamkiwa maneno ya kuchinja, Wakristo hawana shida wao wanaamini
wapo salama kupitia kuombea chakula. but kibiashara imeshaurika achinje Muislamu Ili pasiwepo na kisingizio cha kutokula.
Hata mfumo wa uchinjaji kwa kutumia mashine umetengenezwa ni automatic unamuelekeza mnyama uelekeo wa Kaskazini na pia kisu kimeandikwa maneno ya kuchinja.
Idhini ipi? Kabla ya uislamu nani alikuwa anachinja hivyo vitowewo?Yaani hao wanyama siyo sisi ndiyo tuliyowaumba kwa hiyo tunapotaka kuwafanya kitoweo lazima tuombe idhini kwa aliyowaumba
Kuchinja kuna utaratibu wake kwanza uombe ruksa kwa Mwenyezi Mungu na kunauelekeo wa kumuweke myama,pili kunajinsi ya kupitisha kisu,yaani hutakiwi uchinje kama unakata mti,ili usimpe maumivu sana mnyama unayemchinja,unashauliwa kisu kianzie chini kwenda juu na kiwe kikaliAfu wakija huchinja kwa jina la nani? Wanamkabidhi Mungu yupi huyo mnyama wako?
Hao Wakristo wanaopeleka kwa Waislamu hawaijui dini Yao inasema Nini kuhusu kuchinja mnyama.Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Ndiyo maana tunawaambiaga Uisilamu kaanza nao Baba yetu Adamu kila kitu alipewa utaratibu na Mwenyezi Mungu,kuanzia kutembe,kulala,kujisaidia,kula kujamiana.kila kitu sema mitume kazi yao ni kutukumbusha pale tunaposahauIdhini ipi? Kabla ya uislamu nani alikuwa anachinja hivyo vitowewo?
Ebu tupe andiko lako,na nakuuliza kilichojifia chenyewe au kikapigwa na mnyama mwenzake kikafa pasipo kuchinjwa ni harali kuliwa kwa mkristo?Hao Wakristo wanaopeleka kwa Waislamu hawaijui dini Yao inasema Nini kuhusu kuchinja mnyama.
Mkristo anaejua dini analo andiko linalomuelekwza namna ya kuchinja mnyama Wake.
Wewe mwerevu huwa unachinja kwa utaratibu upi?Ni wapumbavu pekee ndio hubeba mifugo yao waliyoifuga au kununua kwa fedha zao ikachinjwe na jirani mwenye imani nyingine
Wanyama wengine ni hatari huwezi kumchinja kama unavyochinja kuku,mbona atakuchinja wewe,lakini Mwenyezi Mungu Mkalimu alishatuwekea utaratibuYawezekana kwao kiboko sio mnyama bali yuko kundi la samaki fuatilia vizuri
Nguruwe ni Halamu pamoja na kinyesi chake,Sawa na Mbwa naye ni haramu kwa Muisilamu,Aisee akikujibu niTag. Umeongea very strong point 🤣
🤣🤣🤣Kuna siku katika mji fulani mnyama kiboko aliingia mtaani ikabidi mtu wa wanyapori aitwe akampige risasi, hilo lilipofanyika umati wa watu ulifurika kugawana nyama na hakuna aliyetaka kuuliza mchinjaji nani🙂
Makobazi wengi wafuga majini.Waende wakachinje mdudu kitimoto waipate fresh.Utakuta watu wa Dini zingine mfano Wakristo wakiwa na vitoweo vyao wanapoitaji kuvichinja walio wengi lazima wawapeleke Waisilamu wawachinjie, ina mana wao hawaruhusiwi kuchinja?
Hapana alikuwa anakupa utaratibu unavyotakiwa,inawezekana kuku wako lakini wewe siyo uliyemuumba inabidi umuombe idhini aliyemuumba,vilevile aliyemumba ndiyo aliyetupa utaratibu wa kuchinja,Kuna siku nilimtembelea dada yangu pale Riverside-ubungo,akadaka kuku akawa anamchinja..... kumbe Kuna jamaa pale mvaa vipedo aliongea sana mpaka nikatoka nikamwambia kama ni mbona unaingilia maisha ya watu na kuwapangia Cha kufanya? Ooh hiyo ni kifuru, nikamuuliza maswali kadhaa nikaona anaanza kuniletea story za dini yake nikamcheka na kumuona mjinga sana...... yaani unalazimisha watu wafanye kitu kufuata dini yako?
Siyo Kwa wote,mwanangu mwenyewe Abdi kila siku tunagonga naye kitimoto na ni Swala 5 hadi anasigda........Nguruwe ni Halamu pamoja na kinyesi chake,Sawa na Mbwa naye ni haramu kwa Muisilamu,
Tunashukuru bwana Uisilamu Dini ya upendoMakobazi wengi wafuga majini.Waende wakachinje mdudu kitimoto waipate fresh.
Huo ujinga,siyo kila unachoamini wewe lazima Kila mtu aamini....... Muslim kuingia hata chooni lazima utangulize mguu wa kushoto ....Kila mtu abaki na chake na tusipangianeHapana alikuwa anakupa utaratibu unavyotakiwa,inawezekana kuku wako lakini wewe siyo uliyemuuba inabidi umuombe idhini aliyemuumba,vilevile aliyemumba ndiyo aliyetupa utaratibu wa kuchinja,
Iko hivi kuna Uisilamu na Muisilamu,Uisilamu unabaki kama Dini isiyokuwa na Mapungufu,lakini huyu Muisilamu anamapungufu yake na sisi haturuhusiwi kumuhukumu ipo siku atamludia Mola wake akafanya toba,na sisi hatujui kesho yetu itakuwaje,tunaweza kuwa wakosefu zaidi yakeSiyo Kwa wote,mwanangu mwenyewe Abdi kila siku tunagonga naye kitimoto na ni Swala 5 hadi anasigda........
Ndiyo Maana Uisilamu haumlazimishi mtu kuifuata Dini ya Mwenyezi Mungu,bali ni hiari yake mwenyeweHuo ujinga,siyo kila unachoamini wewe lazima Kila mtu aamini....... Muslim kuingia hata chooni lazima utangulize mguu wa kushoto ....Kila mtu abaki na chake na tusipangiane
InshallahIko hivi kuna Uisilamu na Muisilamu,Uisilamu unabaki kama Dini isiyokuwa na Mapungufu,lakini huyu Muisilamu anamapungufu yake na sisi haturuhusiwi kumuhukumu ipo siku atamludia Mola wake akafanya toba,na sisi hatujui kesho yetu itakuwaje,tunawekuwa wakosefu zaidi yake