Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

Kwanini usiseme hata yeye mwenyewe ajitoe kwenye selikali kabisa.?

Hivi masalia ya meko ni yapi.? Au mnafikiri Samia anaongoza kwa tiketi ya bavicha?

Masalia ya MEKO ni Top Ranks aliowateua yeye.
 
Kocha mpya utengeneza timu yake asipofanya ivyo ohoo
 
Nini kimekufanya useme anakuwa Pre emptied

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kumtenganisha mama na hayati ni ngumu, kwasababu mama kimebadilika kuwa rais tu,ila wote waliomba ridhaa na kunadi ilani ambayo bado haijafa.

Kwaiyo mama hana ilani mpya yakutekeleza labda kwenye mapungufu ni kuboresha tu
Kwa hiyo aliyokuwa anatekeleza mtangulizi wake yalikuwa ni Ilani ?, mboa alikuwa anajiendea tu ??, na ndio maana alikuwa akisema serikali yake, nyie hamna ilani kila mtu na lwake, yule alikuwa anafanya ilani ya chato, ndio maan leo wanaopinga aliyokuwa akiyafanya si ccm haohao, ?wewe na ndugai nani ccm zaidi ??
 
Rais SSH amesema tusahau kidogo
Kama kweli HAYO yametoka moyoni mwake,
basi atakuwa ameacha maadili mema yaliyovuta hisia za wanaothamini UHURU, HAKI NA UPENDO wa kweli.
Kwani hapo ndio tutaanzia kufarakana nae.
Lakini bado sijaamini kama atakuwa mtu wa aina hiyo.
Amen
 
Na asipo yajibu mtafanyaje. Sanasana mtasema haampi kura. Na msipo mpa kura lakini akashinda uchaguzi mtafanyaje. Mtakuja kulalamika jamii forum. Jamii forum ikifungiwa mtafanyaje. Mtakubali matokeo na mtaendelea na shughuli zenu za kawaida. Yu will do nothing. Yu are battling with power in which it has a back up power in itself.
 
Ndio atawaelewa TLS na CHADEMA walipomshauri avunje baraza yeye akakaidi
 
Lakini mama aliambiwa mapema kuwa ni hatari kwake kurithi wateule waliokula kiapo kwa mwingine ila yeye hakutilia huo ushauri maanani.
Wacha wamtese.
 
Lakini mama aliambiwa mapema kuwa ni hatari kwake kurithi wateule waliokula kiapo kwa mwingine ila yeye hakutilia huo ushauri maanani.
Wacha wamtese.

Na watamepelekesha sana akiendelea kuwachekea.
 
Kama kweli HAYO yametoka moyoni mwake,
basi atakuwa ameacha maadili mema yaliyovuta hisia za wanaothamini UHURU, HAKI NA UPENDO wa kweli.
Kwani hapo ndio tutaanzia kufarakana nae.
Lakini bado sijaamini kama atakuwa mtu wa aina hiyo.
Amen

Kwani unahisi yametoka wapi mkuu hahaha😂😂😂
Kilicho sahihi kwa mmoja wetu kinaweza kisiwe sahihi kwa mwingine kutegemeana na uelewa na uzoefu pia....
Na ndio maana rais amesema hilo tulisahau kidogo
 
Mtafanyaje?
 
Toa mfano angalau wa mambo matatu tu.

Maana kama ilani inayotekelezwa ni ile ile ya 2020 - 2025 sijui unategemea apite njia ipi.

Kwa yale ambayo sio ya ki- ilani ni lipi amelazimishwa kulifanya?
Kama masikio yako ni kiziwi hata kuona huoni? Ulifuatilia kauli za jana na juzi za wabunge na mawaziri kama Mwigulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…