Heshima ndogoWanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Baba mkwe asante kwa heshima uliyonipa , mimi ninani mpaka nikatae heshima iyo? Laah hashaaaa utakuwa umeniinua kwa kiasi fulani.
On contrary, and fyi... mwanamke experienced akiamua kutulia anatulia mpk unashangaa...Tatizo kubwa ni kuwa:
Wanawake huwa hawaachani na ma eX wao. Sasa ukiwa na mke mwenye ma-eX 30 jiandae kisaikolojia. Kila siku utakuta kachoka tu, maana kila anakoenda anakutana na eX mmojawapo anakamuliwa Kama kawa.
Pili, mwanamke aliyeliwa sana ni vigumu kumtosheleza kwa sex, maana ashakutana na mb.o. saizi zote, hata Kama humiliki kiba100 ataona unacho.
Tatu, anakuwa na stress na kisirani muda woote, maana kwenye mahusiano mengi aliyonayo (sabb hayakomi akiolewa) kuna wanaomkwaza huko daily, hasira anakuja kumalizia kwako
LazimaInasemekana wanazileta hizpexperiencia hadi Kwenye ndoa
Huu ndio uhalisia wenyeweHamna kitu inatuuma sisi wanaume.
Uko na mwanamke afu unaenda kumtambulisha kwa rafki zako watano hivi.
Afu unaskia miongoni mwa hao rafiki zako ulowatambulisha, watatu tayari wamewahi kua nae kwenye mahusiano.
Inakera Sana na inatushushia heshima pia.
Maana hata kwenye harusi mnapovishana Pete maex zake kibao wanakua Wanakusanifu tu
"Pale uoe mzigo nimepiga Sana"
"Dah, ngoja muhuni akapambane. Yale majimaji ya dem sio poa kabisa"
"Dah! Yule mwanamke alinipenda Sana, nlimtoa bikra Mimi jamaa anakula makombo yule"
"Uyo bi harusi ndo Yule Dem tulimpakia kwny bodaboda, akaenda kuliwa na hamis kwenye lile pagale la wasomali pale"
"Kha, yule Dem anapenda Sana mapenz. Afu yakimkolea analia na anang'ata kabisa.
Mshkaji ajipange. Wahuni kibao kawaachia makovu"
"Dah, jamaa ndo anaoa Yule. Si ndo Yule Dem alifumaniwa kipind kile Gest na mme wa mtu"
" Afu naskia uyo bi harusi hanyoagi vwuz, juma alitwambia kipind kile alishindwa kabisa kuendelea kuzama. Aisee bw. Harus kazi anayo"
"Dah! Uyo bi harusi nakwambia ana mzigo wa Moto balaa. Nilipiga one night stand mkesha wa mwaka mpya. Kabla harus haijaisha lazima nipate NAMBA ake Tena"
AISEE, UKIYASKIA YANAYONONG'ONWA UNAWEZA TAMANI PASUKA.
Binafsi,
Mi mwanamke nikishamtilia mashaka hajatulia.
Hata kumtambulisha kwa watu wangu wa karibu (ndugu,jamaa na marafiki) siwezi, nakua nammega tu kimya kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi namwangalia tu... afu nacheka nhinhinhi...
Unajua huyu jamaa anataka kuzidisha hasira zangu dhidi ya barakoa
Mama mkwe wangu .Thatβs why I always love you [emoji8].
Mmuuuahh.!!
Nnahis wew bibie una maisha swafi sana
Kβmatata!
Ofkoz hakuna mwanamke anayekuwa chini ya himaya yangu mimi the Great ODM afu asiwe na maisha swafi...
Kwa taarifa yako Kasie wala hatumii barakoa... sehemu anayoishi iko full sanitized, wale wadudu wanajuta kupasogelea...
Basi ni muhimu experienced wakitafuta ndoa wahame mkoa kabisa.Tunapenda kulinda Heshima ya Uanaune wetu ndani yetu wenyewe na mbele ya watu.
Yaan nipite mtaan nawewe, alafu kasikike kajamaa kanalopoka "huyo Demu nimepigaaaa sana huyoooo na Boooonge la K""
Duuuhhh hilo siwez libeba.
Mwanamke gani yaani kila kitu yeye anajua na kila tukio yeye mbele.Alafu wanaharakati Wanawake wanakuwaga na wivu wakiona Mwanamke mwenzao anamuheshimu na kumtii Mumewe,sijui kwa nini hawapendi kabisa!!
We unapenda vitu " used" au OriginalWanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Kuna maduka ya vitu used, mara nyingi ni wale watu waliofariki vitu vyao vinauzwa kama ndugu hawavihitaji na pesa inasaidia jamii.We unapenda vitu " used" au Original
Umehama. Umeulizwa wewe SkyEclat.Kuna maduka ya vitu used, mara nyingi ni wale watu waliofariki vitu vyao vinauzwa kama ndugu hawavihitaji na pesa inasaidia jamii.
Wateja wa maduka haya si wote kuwa ni masikini. Wengine wanatafuta mapambo ya nyumba.