Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

[emoji23][emoji23] kwa kweli najiiliza kila siku hili swali maana hata Sheitani anakuna kichwa

Kuna mara naona niwasaidie baadhi na kuwapa hata mtaji ila kibri nayo inawasumbua
Kutwa kuomba ila ukimwambia shika mtaji anza biashara ndogo hataki hilo ndio tatizo
Wengi ni ombaomba (sorry) [emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mwanamke hapewi mtaji wa biashara inapaswa atafute mtaji mwenyew wew mpe kias kidogo cha pesa yakuendlez biashar yake kwani hatokubal biashar yake ife sabb anajua changamoto alizopitia kipindi anatafuta pesa ya biashar
 
Acheni ubinafsi kama mama yako asingeaminiwa na baba yako Leo mngefika hapo ebu waangalie wanao ni yupi atakae Walea na kuwajali zaid nimama yao ila mama yako hawezi kuonyesha upendo mkubwa kama alionao mama yao hivyo kama umeamua hivyo bac jua wanao wataish maisha magumu na watakukumbuka kwa mabaya yako na kukulaani kila Leo na ikiwa bahat mbaya wakakosa support ya elimu labda ukifarik hapo ndio chuki itaongezeka Mara dufu.
Kama unamuona mama wa thaman sana kuliko mkeo ni bora usioe wala usiwe na watt
Oko off point kabisa. Soma kwanza uelewe kinachosemwa
 
Akituletea ugali yatosha, tunamshukuru na kukuombea apate zaidi na zaidi
Eehh bana maana ukianza kuwaza Mali zake utajikuta huna chochote cha kukufurahisha nibora ule utazame movie unazozipenda bac vaa upendez mwishoe uzeeke mapema mwenzako bado ananawili
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mwanamke hapewi mtaji wa biashara inapaswa atafute mtaji mwenyew wew mpe kias kidogo cha pesa yakuendlez biashar yake kwani hatokubal biashar yake ife sabb anajua changamoto alizopitia kipindi anatafuta pesa ya biashar

Kweli kabisa
Likija suala la wife
Hao wengine ndio balaa kwa kuomba
Wife zangu hawanisumbui kabisa
 
Aiseee wanawake ni ma pretenders sana atakuactia bonge la picha ukahisi huyu mwenyewe ngoja aingie ndoani sasa rangi zote za rainbow zinakuwa kwako.

Hao wanawake wenye akili za maisha ni wachache sana.
wachache na tako uwa hawana
 
Kuna mmoja huyo alimkazia mume wake eti ampe udaktari!! sasa sijui alidhani ni km uganga wa kienyeji ? halafu wanapenda sana kushirikishwa kuhusu mali, gari ngapi, kila moja inaingiza kiasi gani! drivers unawalipa ngapi! ? hata kipato chako!

km umechanjwa na mganga ata taka amjue! na idadi ya chale! mpaka za nyumbani kwenu atataka azijue zooote! ukikataa ananuna!! bora uie aliye soma kidogo lkn hawa! st kayumba yaani ni wajinga kwisha kazi!!

yaani hawataki uwe na siri!!! ukiwa umesomea uhasibu na yeye anautaka aujue! akiokoka sasa mweee! atakwambia style! za kihuni sijui mbuzi kagoma...mchungaji hataki!
 
Tunaficha mambo mengi sababu nyie sio wavumilivu kabisa! Kidume unajipinda unaweka akiba inafika hata 10M kwa ajiri ya long run projects,kama kujenga au kuanzisha biashara, mwanamke wako akishajua tu,anaanza kupanga mipango yake,mara hii tv,tuibadilishe,mara sijui hizi sofa zimepitwa na wakati,mara sijui tufanye sherehe ya miaka 2 ya ndoa yetu!

Pia wanawake hua na viherehere,anaweza chukua kile kikaratasi cha Salio,anaenda mringishia rafiki yake huko,yeye hajui kama anakutafutia kifo,maana wanaweza kuipata wazee wa ngwasuma,wakatimba usiku wa manane kuomba salio,bahati mbaya usiwe nalo home liwe bank,wanakuuwa!

Hiyo aya ya 2 imeitokea familia 1 mwaka jana. Kiuchumi haipo vizuri hivyo katika kupambana pambana huko mwanamume kapata laki 9, kwao ilikuwa pesa nyingi sana. Akamshirikisha mkewe, mkewe nae friji lake haligandishi mbio kwa shoga yake, baada ya siku 1 wakavamiwa na vibaka laki 9 ikaondoka.
 
[emoji23][emoji23] kwa kweli najiiliza kila siku hili swali maana hata Sheitani anakuna kichwa

Kuna mara naona niwasaidie baadhi na kuwapa hata mtaji ila kibri nayo inawasumbua
Kutwa kuomba ila ukimwambia shika mtaji anza biashara ndogo hataki hilo ndio tatizo
Wengi ni ombaomba (sorry) [emoji23][emoji23]
Haaahaaaahaaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi ni ombaomba?
 
Haaahaaaahaaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi ni ombaomba?

Jamani nisamehe hivi kila wakati ukiomba nikakupa sema Laki
Zikiwa x 10 hapo hujakaa na kuuza hata samaki wa kukaanga
Tatizo sio hilo ila naona ni kuona kama mtu ana hadhi ya kuwa na Range wakati hata baiskeli hana
[emoji23][emoji23]

Ila nawapenda
 
Mi nafikiri hatuwashirikishi kwa sababu ya negative attitude za wanawake kwa waume zao.
1) wanawake 95% wanaamini mume ataanza kufa, hivyo ata ukimshirikisha atakua kama mtu aliepewa lifti akapiga na horn. Yaan atapambana mpaka yeye ndio awe kila kitu na mwenye final say.kwa point hii basi wanawake ni wabinafsi

2) kwenye project yoyote wanawake huwa wepesi ku panic incase kuna loss yoyote. Kwa mfano mkianzisha biashara na ika fail mwanamke ata lalamika na kuongea mpaka ukoo mzima ukajua. Na mwishoe mnaweza ata kugombana

3) hatuwashirikishi kwa sababu wanawake wanaamini mume akiwa na hela nyingi atawaza kama sio kuongeza mke basi kutafuta mchepuko mmoja mzuri sana. Tofauti na mwanamke ambae akipata pesa nyingi hua anaona au anahisi hana sababu ya kua na mwanaume.
Sasa basi mke akijua mkwanja wako wote atapambana akupangie mpaka daily routine zako .

Lastly kuna baadhi ya matumizi ya kiume mke hua anaamini ni opetevu wa pesa. Kwa mantiki hiyo mke atakijiwi kujua unamiliki nini
 
Back
Top Bottom