Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

Ndo safi sasa na ndo imeumbikaaa sharot kwa mzungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwakweli imejaaliwa ndo mtoa mada akajionee ataelewa mnachopitiaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…kusema kweli niliwaza vitu vya kijinga kwa muda mfupi tu halafu nikajifanya km sijaona, wanaume wala hawakuwq na habari ila nina uhakika ukimtoa ngosha Bush Bush huko ukamletea mdoli nina uhakika ng'ombe atakupa
 
Au sioo mangosha wa Siku hizi wajanja weew au atataka na kuashikashika
 
Bila picha za BOOBS futa hii takataka
 
Una umri gani kiasi cha kutokuelewa kwamba 'uvimbe' wowote kwenye mwili wa mwanamke ni mapambo na vivutio vinavyohamasisha wanaume kusorolea kutazama na kumezea mate?

Manyonyo na makalio kwako unaviona vya kazi gani kwa sababu unavyo unavimiliki, lakini kwa mwanaume asiyekuwa navyo lazima vimfadhaishe kwa kuviangalia kwa sababu vinamtamanisha.

Kama unadhani viliumbwa kwenye mwili wa mwanamke kwa madhumuni ya kunyonyeshea watoto ama kwa sababu ya kukalia, unajidanganya, jiulize kwanini viwe vikubwa?

Kwa hiyo hautaki hata kutamaniwa, si ndiyo?

Ajabu sana hii kupingana na uumbaji wa M/Mungu kwa kweli!
 
Kama ni mwanamke na huna matako unataka uangaliwe nini Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…