Kwanini wanawake mnakimbilia kupanga mkipata kazi?

Hao sina experience. Maana mie naingia saloon za kiume πŸ’‡β€β™€οΈ
Oya hii naipendaga Sana kuna Jamaa yangu yeye nilisoma naye chuo by that time alikuwa in-service Mwalimu wa primary Sasa yeye na mke wake wote walikuwa wananyoa , saloon moja kila mishahara ikisoma

Nguo wanashona sare

Raba sare yaani nilikuwa napenda Sana lifestyle Yao
 
Sio uzinzi uhuru upo wa mambo mengi, kuna mambo huwezi kuyafanya ukiwa nyumbani.
Kama yapi mkuu? Mm nitamrusu binti yangu kupanga iwapo atakuwa amepata kazi nzuri na yenye mshahara mzuri mbali na nyumbani kwangu, tofauti na hapo haondoki nyumbani na akirazimisha kuondoka akatufute baba yake mwingine.
 
Yaan acha tu ni omba omba balaa ukilala nae anataka umpe hata 25k hapo ni demu wako mara anadaiwa kodi mara hajala aisee umuhimu wa kuoa upo so kwa vizinga ivi.
 
Hayo ni matokeo ya moja kati ya haya:

Mimba zisizo tarajiwa. Mwanamke anashika mimba bila malengo. Mwanaume haeleweki mwisho wa siku anamlea mtoto peke yake. Mtoto wa kike akimaliza ka saba anakua lose tu. Nyumbani kupokupo tu haelewi kesho itakuaje na labda hata mama yake anamtaka alete chochote home. Mwisho wa siku anajiona nae bora akayaanzishe yake tu anaondoka na kwendq kupanga. Mtoto wa kike alie lelewa vyema hawezi kutoka home akiwa kwenye early 20s otherwise amepata kazi ya kueleweka mbali na home.

Mbili ni matokeo ya mwanamke anaweza. Ongeza nyama mwenyewe
 
Mkuu mwanamke kaumbwa asuke

Na hamnaga anaesuka akawa mbaya inategemea na msuko na msusi mwenyewe
Unasema kwamba wanawake wote wakisuka wanapendeza? Ila umeshakiri hapo chini kwamba inategemea na msuko that means kusuka haifanyi mwanamke apendeze

Kuna vituko tunakutana navyo barabarani huko unabaki unacheka tu
 
Unasema kwamba wanawake wote wakisuka wanapendeza? Ila umeshakiri hapo chini kwamba inategemea na msuko that means kusuka haifanyi mwanamke apendeze

Kuna vituko tunakutana navyo barabarani huko unabaki unacheka tu
Aah tatizo unawalinganisha na kina Priyanka Chopra, na kina kim kadashan unategemea nini

Akisimama at her own lane she is beautiful 😘
 
Aah tatizo unawalinganisha na kina Priyanka Chopra, na kina kim kadashan unategemea nini

Akisimama at her own lane she is beautiful 😘
Kusuka asuke nywele Asili sio haya makatani kichwani nywele fake

Binafsi Binadamu haitaji kuedit Mwili Bali anabidi kuedit Akili

Mtu unasuka nywele bandia mara katani hii inaonesha waafrika Ni watu wajinga.
 
Kwenye tabia hapo hapana,wengi wanakuja mjini wakiwa na tabia nzuri tu,wakishapanga maisha yanawapiga na wanaishia kwenye umalaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…