Kwanini wanawake mnakimbilia kupanga mkipata kazi?

........upo sahihi mkuu, wengi wao wanaoondoka nyumbani na kupanga, huwa makwao kuna hali ngumu kiasi kwamba anajihisi ni mzigo, kwa hiyo hata kutafuta kwake kazi inakua ni ili siku moja aweze kujitegemea, ukizingatia kwamba kwa leo hii ni ngumu mwanamke kupata mwanaume muoaji ili atoke nyumbani aolewe, wengi wanazalishwa, so asipojiongeza anazalia nyumbani au kuzeekea nyumbani.......
........changamoto waliyonayo wanawake wengi na ambayo wanapaswa kubadilika ni kujaribu kuvimba pale wanapopata kazi na kudhani wamemaliza coz maisha ya kujitegemea ni magumu, wawe tayari kurudisha mpira kwa beki na kujipanga
upya, hii hata sisi wanaume huwa tunafanya wakati wa utafutaji, wasione aibu inaruhusiwa pale maji yakifika shingoni......
......maoni: Kwa sisi wanaume ikitokea unamuona binti ni mpambanaji tujaribu kuwapa sapoti, kuwatia moyo na ushauri namna ya kuongezea kipato ili kukudhi haja zao na kufikia ndoto zao, tusiwatumie kimwili hata kama wanajilengesha humo maofisini......mind you sio rahisi sana kukuta watoto wa kishua wanakimbilia kupanga, wengi njaa kali tu na hata kimaadili haipendezi mtoto was kike kupanga inasense kama uhuni.......
 
Binadamu wote SAWA ( Kulingana na haki za Binadamu)

Kwahivyo

Wanawake = Wanaume

Wanaume wakipata kazi nyumbani =Wanaondoka

Lakini


Wanaume = Wanawake

Kwahivyo

Wanawake wakipata kazi nyumbani = Wanaondoka

Kwahivyo Wanawake wakipata kazi wanatakiwa kuondoka
 
You nailed it
 
Kusuka asuke nywele Asili sio haya makatani kichwani nywele fake

Binafsi Binadamu haitaji kuedit Mwili Bali anabidi kuedit Akili

Mtu unasuka nywele bandia mara katani hii inaonesha waafrika Ni watu wajinga.
Aah mkuu sisi waafrika hatuna asili ya nywele ndefu

Sio mbaya tukasuka design tofaut tofaut ili ziwe ndefu na vizuri kimuonekano


Afu wewe si muslim i think umezoea wanaovaa hijab and most of husuka kwenda kilioni


So sishangai with what your saying maana ndo ulivozoea
 
Wengi wao ukiwafatilia utagundua ni wanawanake wanaotamani kuolewa so kukimbilia kupanga anafkiri akipata mwanaume atamuona anaakili ya maisha ili ashawishike kuishi nae au amuoe kabisa.
Inshort mabinti wanaokimbilia kupanga ni wapenda vitonga, ndio maana wanakuwa omba omba sana, utaombwa mpaka hela ya umeme.
 
Nina huyo mwanangu.
Uwa namuuliza kwanini ulipanga wakati kwenu ni hii hii Kinondoni. Anajibu, ana mshahara wa kumtosha kwanini aendelee kubaki home ale ugali wa shikamoo.
Anahisi umri umefika wa yeye kusimama na kupambania maisha yake mwenyewe. Usimlaumu au kuhisi alikujibu vibaya kwa kukukosea adabu, ndivyo tulivyo sisi wazazi wa kiafrika. Kama Baba i feel proud na kijana wa namna hiyo awe wa kike au wa kiume... kuna time inafika "SHE/HE SHOULD FACE LIFE!

Kuna elimu pana sana kwenye hili... sometimes anataka ugali nyama choma, hawezi kutoa hiyo order atasemwa ndo mana anaamua ku-experience maisha ya kujipatia mwenyewe furaha
 
Mzazi kumruhusu binti yako kwenda kupanga bila sababu za msingi jua ww ni mzazi wa hovyo na ahumthamini binti yako.
Mpe malezi bora tangu akiwa mikononi mwako mdogo sana! Hutaleta lawama hapa

Akienda kuharibikiwa huko shauri yake! Watoto wa kike hawaniumizagi kichwa.
 
Wazo la kujitegemea ni zuri ila bado kipato inakuwa changamoto hivyo wengi wanaangukia kuwa kama wanajiuza , ni vizuri kushare room kama kuna ulazima wa kupanga ikiwa nyumbani ni mbali na kazini.
Tuwe tunawasapoti wanetu wakikwama kodi na fedha ndogondogo.
 
Wengi wao wametoka mikoa mbalimbali huishia kuzalishwa kutokana na kupenda kwao kuishi mjini bila ya taaluma yoyote, wana maisha ya kuigiza hali ya kuwa ni wabangaizaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…