FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Ndio maana Nasema Mnaolewa na Prado na HarrierKwani sie tuko kijijini? Walioko kijijini nao wanaolewa na walio huko kijijini. Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
Ukizingatia wote ni zao la Wizara ya Mambo ya NdaniDuh
Niliona ile Clip pale kanisani walipkuwa wamekaa mzee kusimama alijikunjua kama mara nne ndo akaweza..!
Nadhani ameoa ili aweze kupata muangalizi tu basi.
Dada mwenyewe yuko kanisani kwenye ndoa anachati na miwani tinted aseeh..!
Ukiangalia wazi unaona kabisa hii sio ndoa bali makubaliano tu..
Duh
Niliona ile Clip pale kanisani walipkuwa wamekaa mzee kusimama alijikunjua kama mara nne ndo akaweza..!
Nadhani ameoa ili aweze kupata muangalizi tu basi.
Dada mwenyewe yuko kanisani kwenye ndoa anachati na miwani tinted aseeh..!
Ukiangalia wazi unaona kabisa hii sio ndoa bali makubaliano tu..
Kwa maana hii ni mchongo?Ukizingatia wote ni zao la Wizara ya Mambo ya Ndani
Kweli lakini sasa ukute Dada mwenyewe ndio hawa wenye kinyaa ataweza kweli?Hilo mbona mzee mwenyewe kasema, sasa we ulidhani ameoa ili apeleke moto.!
Kweli lakini sasa ukute Dada mwenyewe ndio hawa wenye kinyaa ataweza kweli?
Btw nani atampelekea moto huyo mama? Miaka 39 bado anadai kabisa au ndio mzee karuhusu haya ila heshima iwepo?
Mungu atusaidie watoto wakikeHakuna anayependa shida duniani Hapo nawapa hongera kwa huo ujasiri mnakuwa mnazishika kabisa saggy Balls zenye mvi ili mzee apate stimulation
Mzee anakula mate na meno yake matatu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Miaka 22?? Ya mahusiano... Basi mrema alimuanza Binti akiwa na 17 yearsUnaambiwa mzee mrema kuvalishwa pete tu ilikuwa ishu,kidole hakinyooki kimekakamaa flani,yule ameoa kimkakati, na inasemekana wana miaka 22 ya mahusiano na mrema.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vijana wanatupiga matukio na hela pia hakuna.
Wanakupa vidonda vya tumbo na presha pesa pia hakuna.
Bora tubaki nao wapiganaji wa vita vya pili vya dunia.
Km Ni Mimi nachagua hapo kwenye 58 Safi kabisaHuyu mwanamke aolewe na yupi kati ya hawa wanaume wawili?
Yeye ana watoto watatu kila mtoto na baba yake umri wake ni miaka 30,Mwanaume wa kwanza ana umri wa miaka 58 na watoto wanne aliachana na mkewe ,mwanaume wa pili ana miaka 38 hajawahi kuoa na hana hata mtoto,Kati yao wawili yupi ni saizi yake?
Kwanini usichague mnayeendana umri?Km Ni Mimi nachagua hapo kwenye 58 Safi kabisa
Sasa wapi nimedharau haki za wengine wewe vipi mzee?Hayo ni mambo ya faragha sio lazima yatolewe tamko, kuhusu kinyaa mzee mwenyewe atakuwa ameona huduma yake kwa muda alioishi naye…. mengine hayatuhusu tuheshimu haki za watu wengine.
JamaniHakuna anayependa shida duniani Hapo nawapa hongera kwa huo ujasiri mnakuwa mnazishika kabisa saggy Balls zenye mvi ili mzee apate stimulation
Mzee anakula mate na meno yake matatu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwanamama mbichiiiiiiiLeo tumesajili member mpya
Kazi ipi sasa pale?Yule mzee sukari imemla sana,mwili umechoka kaoa mtu wa kumsaidia kazi
Kuna nini hapoJamani
Loh
Hapo kwenye meno matatu hapo ....