Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Mara nyingi nimeshuhudia kwenye arguments za wana ndoa kuhusu mipango ya kimaendeleo.

Utamskia mwanamke akimuambia mume wake "sasa ukifa mimi na watoto tutaishije?"

Yani wao wanajiweka wa mwisho kufa.
Hii kauli huwa inanikera sana kutoka kwa wanawake hawajui tu na nilivyo siipendi ndiyo Mungu nae ananikutanisha na wanawake wengi sana wenye huu msimamo kwa waume zao... Hata huyu wangu ameshawahi kunitamkia hiyo sentence "ilinikata sana" na kuniwekea kovu ambalo sidhani kama nitapona
 
Ndoa ni heshima kwa mwanamke mwenye kujitambua,kuzaa watoto nje ya ndoa sio jambo zuri ki maaduli. kama ikitokea mmoja basi huisabika kama bahati mbaya,ukizaa zaidi ya hapo huwa ni shida katika jamii yetu ya Afrika.
Pili kama hujaolewa na umri unakwenda basi hutafsilika kama nuksi au mkosi hasa pale wanapoona mdogo wake kaolewa alafu yeye bado.
All in all sisi wazazi wa Kiafrika ndio tunawapa pressure watoto wetu wa
Kike
 
Mwanaume ukioa, bado una nafasi.
Mkipata mtoto, utahitajika kwa kipindi cha malezi, usijigambe, bado una nafasi kiduchu!
Ukipata mwingine, ukalea na wakakuwa. MWANAUME MCHEZO UMEKWISHA! KAZI YAKO IMEISHA!
Cha kufanya tafuta mwingine kwa masharti hutaki mzae! Fanya hata vasectomy!
Jiandae kuwa ATM ya kutunza mke na watoto au mtoto!
Mwanaume anza kula LIFE mpaka wakuone LIMBUKENI!
Ndio! Sababu waombewa UFE watu warithi ulichonacho!
Kila la kheri mwanaume.
 
Hii ya Wadada kutaka kuolewa hata mke wa pili iko sana.

Lakini majority ni wale waliokuwa wala bata wanahongwa sana na vibosile sasa uzuri umeshaanza kupungua soko limeshuka.
 
TURUHUSU TUKUJENGEE MNARA MKUU
 
Hii ya Wadada kutaka kuolewa hata mke wa pili iko sana.

Lakini majority ni wale waliokuwa wala bata wanahongwa sana na vibosile sasa uzuri umeshaanza kupungua soko limeshuka.
ni somo na darasa kwa hawa wa sasa but hawataki kujifunza sielewagi kwanini,

unakuta katoto kadogo tu, tena kwa mapozi yote kanaringa kweli kutembea na mbaba mtu mzima mwenye mke na familia yake,

huku anamkataa kijana mwenzake mwenye nguvu zaid..

akija kufika 35, kachakaa hadi anajichukia mwenewe, akitazama nyuma hamuoni hata kijana moja anaemfuatilia, wakati huo huyo mbaba hajiwezi tena,

inatia huruma sana aisee πŸ’
 
Inasikitisha sana
 
N nature napia wameamnishwa ww mwenyw kama unayo bnt yako kashakuwa mtu mzm labda kafksha 27 plus lazma umwambie vp ujaona tu? unazeeka usje ukawa ajuza ujaolewa itakuwa, n fedhea so mwanamke anaamn na yy lazma azae aendeleze kzza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…