Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Wanaliwa Sana na wenye Pesa na madingi, mtu anapotaka kufikiria kumwoa anasikia Fulani kapita, Fulani kapita ana kunja mkia
Hii ndio "Logic" kubwa,..........mwanaume anayetaka kuoa 97% anakua amefanya Survey ya hapa na pale,sasa unakuta Binti Kagongwa na watu zaidi ya 3 na wote unawajua,.......labda chizi ndio atamuoa huyo binti
 
Sio kila mwanamke mrembo, maana yake ni mwanamke mzuri.
Uzuri wa mwanamke huanza na tabia kisha urembo wake utauona ndani ya tabia zake njema.
 
Sio kila mwanamke mrembo, maana yake ni mwanamke mzuri.
Uzuri wa mwanamke huanza na tabia kisha urembo wake utauona ndani ya tabia zake njema.
Kuna uzuri wa sura na uzuri wa tabia kwaiyo inategemea upo na mwanamke kwa kuangalia kipaumbele chako ni kipi kati ivyo viwili. Tusi-complicate mambo.
 
Huwezi kulima miwa jirani na shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…