Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

Hakuna lolote mnatuogopa tu
Mnahisi tuna deserve better
Defensive mechanism. For what do you deserve better than others.
Yaani wewe utaliwa tu na Bata Zote utapewa Ila mke wa kukuzalia watt anakuwa mwingine ndiye anaye deserve best husband.
Wewe ni sawa mkulima aliye na shamba la Miwa karibu na shuleni.
Kwanza ukishaanza kutongozwa na kutafutwa na wanaume wengi yaani Ile tumekaa simu unapigiwa hazikauki najua how can I classify you.
Mcheki mobeto yupo na mond,rick Ross Leo yupo na burkinabe kijana wa Burkina faso
 
Ila saa nyingine hawa wanawake wazuri hua tunawaonea tuu.. sasa imagine mwanamke mzuri kila siku anatongozwa mara 50 - 100, kweli ataweza kukataa mara zote? Na sisi wanaume pia tunachangia maana kila mwanamke mzuri tukimuona lazima tuanze kumshobokea, kuomba namba na kutongoza.

We unadhani ataachaje kuharibika..? 🤔
 
Kwani hao wanawake akili hawana
 
Wazuri wengi mafuvu yao hayana kitu (akili za maisha). Fikra zao huwatuma kwamba wamekalia uchumi 😂😂😂 kitu ambacho sio uhalisia wa maisha ya ndoa, wanasahau kwamba Mwanaume huanza kwa kutamani then upendo. Tabia ndo itamfanya aamue atadumu nae kwa muda gan
 
Ila saa nyingine hawa wanawake wazuri hua tunawaonea tuu.. sasa imagine mwanamke mzuri kila siku anatongozwa mara 50 - 100, kweli ataweza kukataa mara zote? Na sisi wanaume pia tunachangia maana kila mwanamke mzuri tukimuona lazima tuanze kumshobokea, kuomba namba na kutongoza.

We unadhani ataachaje kuharibika..? 🤔
Sio wajinga hao wanakijua wanachokifanya, wanazijua character za wanawaovulia chupi. Hayo mazingira ya kutongozwa wanayatengeneza wao wenyewe, mtego huo mzee mwenzangu.
 
Back
Top Bottom