Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Utamuoaje mwanamke bila kwanza uishi nae ili umjue zaidi
 
Kuna nini tena huku? Mahaba yenu mie hayanifai maana kumbe kidume ukioa wake wanne huruhusiwi kulala nao kwa wakati mmoja wakati mie nilijua unakuwa unajipigia fivesome ga ukweli kwa raha zako
Hahahahahaha
 
Wewe naye zilipendwa tu, mfia uislamu tu huna la ziada. Dini ya mwarabu inakupasua kichwa kwanini..?
 
Mbona ndio wanaongoza kwa kuachika?
Kuachika ni jambo la kawaida maana atujui nini kimesababisha waachane hata kwenye dini yetu ya kikristo ingekuwa inaruhusu watu kuachana nazani watu wangeachana wengi Sana sema tunavumiliana kwasababu ya dini kutubana.Jitahidini dada zangu nanyi muwe na mahaba na wanyenyekevu kwa wenzao wenu mkiwa na hivi vitu tusingekuwa tunasumbuka kuwa na mahusiano na Waislamu.
 
Ntaretrieve kitu ili nione mizania katika maudhui na uhuru wa maudhui kama hosts wanabalance
 
Haya tuchukue mfano wa mtu aliyezaliwa na kukulia kwenye uislam kisha akaolewa na mkristo na kubadilisha dini. Hapo tabia yake nayo itabadilika?

Kuhusanisha tabia za watu na dini ni sawa na kuchanganya mlenda na pilau. Havihusiani kabisa ni wewe tu na mentality yako ya kijima
 
Qoroan inawaruhusu kufanya ngono kabla ya kuolewa?
Maana umesema wanafuata mafundisho
 
Umetumia vigezo gani nipo MBEYA MJI WA KIMALEZI YA KIKRISTO TANZANIA.

Singo maza mtaani utitiri.


Hawajui 50/50 mahususi katika nini?
Yote ni sababu ya 50/50.
Umeshasema Mbeya tayari kwa hiyo jibu unalo, sijawahi kuona mkoa wenye mazezeta kama huo. Kibaka akipatwa na nyege ghafla anafungua kanisa na mazezeta kibao wanajazana kwenda kuchezewa akili na mwisho wa siku wanazalishwa na huyo Kibaka ajiitaye Mchungaji. Mbeya ni mkoa uliolaniwa, wachawi wao, mazezeta wa dini ni wao.....yaani basi tu.
 
Unaongelea madhaifu ya wanawake wa kikristo alafu hapo hapo unasema ume date na mmoja tu, ss hapo nguvu ya kukosoa unaitoa wapi?

Ok, kwa experience yng naona wanawake wengi wa ss hawana utofauti mkubwa japokuwa kwa ninavyoona mm wanawake wengi wa kiislamu huwa ni waongo, wasio na mapenzi ya dhati na wabinafsi. Hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wengi wao wanatokea familia duni hivyo kulazimika kutokuwa na upendo.

Njaa ni mbaya sn, na hii ndiyo inayosabanisha waafrica wengi kutokuwa na mapenzi ya dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…