Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu
 
Kinacho watia kiburi ni mfumo wa ndoa wakutokuachika. Wakiisilam anajua akizubaa kidogo tu either taraka au mke mwenza .
 
Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu

Ehhehe ongezea pia wanawake wa kiislam wasafiii hakuna harufu za ajabu ajabu
 
Kama hao wanawake wa kiislam ndio hawa Majirani zangu wavaa madera hapa...Ni afadhali nikutane na mpagani...

Nje ya mada Naishi eneo ambalo 99% ni Muslim....
 
Mafundisho wakati wanazini...

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ehhehe ongezea pia wanawake wa kiislam wasafiii hakuna harufu za ajabu ajabu
Ni kweli ndugu, hawa wa kwetu huwa wanakaa nyumbani anajichanganya na vumbi, moshi wakati anapika, jasho litakanalo na joto, mkojo wa mtoto na bado analala bila kuoga, wnawake wa kiislamu ninachowakubali ni usafi na nidhamu
 
Na ni dini gani wanaongoza kwa kuuwana kwenye ndoa na migogoro ya kesi za ndoa mahakamani?

Nasubiria jibu.
 
Sasa kuolewa mara saba na kuachika bora nn au kufia kwenye ndoa kwa kiapo cha mpak kifo kitutenganishe.
NB: wakristo ndo wanaongoza kuuwana kwenye ndoa na migogoro ya ndoa mingi mahakamani ni ya wakristo.
 
Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu
Huwezi kujijua kasoro zako, walivyo wanawake wakikristo na wanaume wakristo wapo hivyo hivyo ndiyo maana hata nyie mnakimbiwa, wazee wa mnyazimungu wanawazidi mbali sana kwa care wanawake.
 
Kama hao wanawake wa kiislam ndio hawa Majirani zangu wavaa madera hapa...Ni afadhali nikutane na mpagani...

Nje ya mada Naishi eneo ambalo 99% ni Muslim....
Eti wasafi wakati wanavaa dela chuku chuku
 
Huwezi kujijua kasoro zako, walivyo wanawake wakikristo na wanaume wakristo wapo hivyo hivyo ndiyo maana hata nyie mnakimbiwa, wazee wa mnyazimungu wanawazidi mbali sana kwa care wanawake.
Inawezekana kuna kitu kinakuvutia kwa hao wanaume wa kiislamu na hutaki kuwa wazi, mimi sijakimbiwa labda kama unawasema wengine, nasisitiza wanawake wa kiislamu wana sifa za kuwa mke tofauti na wakristo, mleta mada alisema, wanawake wa kiislamu wanajua kutambua thamani ya mume na wanajistahi kuliko nyie wakristo, ndoa nyingi za kikristo watu wanaishi mradi twende, wanakuwa wameshakerana ila hawana jinsi na kinachowapa kiburi ni kwasababu wanajua hawawezi kuachika, ndio za kikristo huwa hazivunjwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…