Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Wanawake waikiislam wanaongoza kwa
1.Kuroga,kila siku wanaenda kwa ustaadhi wanaita dua kusomea wanaume visomo,mwanaume unajiona special umevuliwa viatu mwenzio anakupaka dawa,bafuni Kuna shower eti unawekewa waji kwenye ndoo unajiona mwamba eti nimeweka hirik,hiriki ya wapi wewe zinduka umewekewa midudu humo,mnanyweshwa marangi gani sijui mazafarani,mwanamke wa kiislamu lazima aweke mauchafu kwenye chakula ndio maana upishi wao umejaa viungo kubabaisha Mambo asiowajua Nani hao?nyama inaungwa Hadi inapoteza Radha halisi ili asibambwe

2.Wanaongoza kwa unafiki,hata Kama hampendi mume atajifanya anampenda anamnyenyekea kumbe mnafiki ndio maana waanachika kila baada ya miezi 3

3.Wanaongoza kwa kwenda kwa mpalange

4.Wanaongoza kwa kuolewa na kuachika!mtu mmoja unaolewa mpaka Mara Saba eti chuo Cha Saba jamaniii sio kweli.

Wakristo tuna madhaifu yetu Ila hao waislam sio Bora kutuzidi,wamelazimika kuwa submissive kutokana na matunzo Yao ya kitaleban.
Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu
 
Kinacho watia kiburi ni mfumo wa ndoa wakutokuachika. Wakiisilam anajua akizubaa kidogo tu either taraka au mke mwenza .
 
Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu

Ehhehe ongezea pia wanawake wa kiislam wasafiii hakuna harufu za ajabu ajabu
 
Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.

Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.
Mafundisho wakati wanazini...

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ehhehe ongezea pia wanawake wa kiislam wasafiii hakuna harufu za ajabu ajabu
Ni kweli ndugu, hawa wa kwetu huwa wanakaa nyumbani anajichanganya na vumbi, moshi wakati anapika, jasho litakanalo na joto, mkojo wa mtoto na bado analala bila kuoga, wnawake wa kiislamu ninachowakubali ni usafi na nidhamu
 
Na ni dini gani wanaongoza kwa kuuwana kwenye ndoa na migogoro ya kesi za ndoa mahakamani?

Nasubiria jibu.
 
Wanawake waikiislam wanaongoza kwa
1.Kuroga,kila siku wanaenda kwa ustaadhi wanaita dua kusomea wanaume visomo,mwanaume unajiona special umevuliwa viatu mwenzio anakupaka dawa,bafuni Kuna shower eti unawekewa waji kwenye ndoo unajiona mwamba eti nimeweka hirik,hiriki ya wapi wewe zinduka umewekewa midudu humo,mnanyweshwa marangi gani sijui mazafarani,mwanamke wa kiislamu lazima aweke mauchafu kwenye chakula ndio maana upishi wao umejaa viungo kubabaisha Mambo asiowajua Nani hao?nyama inaungwa Hadi inapoteza Radha halisi ili asibambwe

2.Wanaongoza kwa unafiki,hata Kama hampendi mume atajifanya anampenda anamnyenyekea kumbe mnafiki ndio maana waanachika kila baada ya miezi 3

3.Wanaongoza kwa kwenda kwa mpalange

4.Wanaongoza kwa kuolewa na kuachika!mtu mmoja unaolewa mpaka Mara Saba eti chuo Cha Saba jamaniii sio kweli.

Wakristo tuna madhaifu yetu Ila hao waislam sio Bora kutuzidi,wamelazimika kuwa submissive kutokana na matunzo Yao ya kitaleban.
Sasa kuolewa mara saba na kuachika bora nn au kufia kwenye ndoa kwa kiapo cha mpak kifo kitutenganishe.
NB: wakristo ndo wanaongoza kuuwana kwenye ndoa na migogoro ya ndoa mingi mahakamani ni ya wakristo.
 
Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu
Huwezi kujijua kasoro zako, walivyo wanawake wakikristo na wanaume wakristo wapo hivyo hivyo ndiyo maana hata nyie mnakimbiwa, wazee wa mnyazimungu wanawazidi mbali sana kwa care wanawake.
 
Inawezekana kuna kitu kinakuvutia kwa hao wanaume wa kiislamu na hutaki kuwa wazi, mimi sijakimbiwa labda kama unawasema wengine, nasisitiza wanawake wa kiislamu wana sifa za kuwa mke tofauti na wakristo, mleta mada alisema, wanawake wa kiislamu wanajua kutambua thamani ya mume na wanajistahi kuliko nyie wakristo, ndoa nyingi za kikristo watu wanaishi mradi twende, wanakuwa wameshakerana ila hawana jinsi na kinachowapa kiburi ni kwasababu wanajua hawawezi kuachika, ndio za kikristo huwa hazivunjwi
 
Back
Top Bottom