- Thread starter
- #341
Tupe story kidogo basiTrue KABISA nimekutana na hii kitu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe story kidogo basiTrue KABISA nimekutana na hii kitu.....
Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamuWanawake waikiislam wanaongoza kwa
1.Kuroga,kila siku wanaenda kwa ustaadhi wanaita dua kusomea wanaume visomo,mwanaume unajiona special umevuliwa viatu mwenzio anakupaka dawa,bafuni Kuna shower eti unawekewa waji kwenye ndoo unajiona mwamba eti nimeweka hirik,hiriki ya wapi wewe zinduka umewekewa midudu humo,mnanyweshwa marangi gani sijui mazafarani,mwanamke wa kiislamu lazima aweke mauchafu kwenye chakula ndio maana upishi wao umejaa viungo kubabaisha Mambo asiowajua Nani hao?nyama inaungwa Hadi inapoteza Radha halisi ili asibambwe
2.Wanaongoza kwa unafiki,hata Kama hampendi mume atajifanya anampenda anamnyenyekea kumbe mnafiki ndio maana waanachika kila baada ya miezi 3
3.Wanaongoza kwa kwenda kwa mpalange
4.Wanaongoza kwa kuolewa na kuachika!mtu mmoja unaolewa mpaka Mara Saba eti chuo Cha Saba jamaniii sio kweli.
Wakristo tuna madhaifu yetu Ila hao waislam sio Bora kutuzidi,wamelazimika kuwa submissive kutokana na matunzo Yao ya kitaleban.
Bora uwaambie ukweliMuwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu
Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu
Huyu dada akija tu utasikia harufu ya pafyum ya kuluthumuFaiza Foxy kuja utoe ushuhuda
[emoji23]Huyu dada akija tu utasikia harufu ya pafyum ya kuluthumu
Mimi na Mtume Mohammed nani fuska...sema ukweli.Acha ufuska
3.Wanaongoza kwa kwenda kwa mpalange
Mafundisho wakati wanazini...Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.
Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.
Ni kweli ndugu, hawa wa kwetu huwa wanakaa nyumbani anajichanganya na vumbi, moshi wakati anapika, jasho litakanalo na joto, mkojo wa mtoto na bado analala bila kuoga, wnawake wa kiislamu ninachowakubali ni usafi na nidhamuEhhehe ongezea pia wanawake wa kiislam wasafiii hakuna harufu za ajabu ajabu
Jamani Faiza yuko wapi ??Faiza Foxy kuja utoe ushuhuda
Sasa kuolewa mara saba na kuachika bora nn au kufia kwenye ndoa kwa kiapo cha mpak kifo kitutenganishe.Wanawake waikiislam wanaongoza kwa
1.Kuroga,kila siku wanaenda kwa ustaadhi wanaita dua kusomea wanaume visomo,mwanaume unajiona special umevuliwa viatu mwenzio anakupaka dawa,bafuni Kuna shower eti unawekewa waji kwenye ndoo unajiona mwamba eti nimeweka hirik,hiriki ya wapi wewe zinduka umewekewa midudu humo,mnanyweshwa marangi gani sijui mazafarani,mwanamke wa kiislamu lazima aweke mauchafu kwenye chakula ndio maana upishi wao umejaa viungo kubabaisha Mambo asiowajua Nani hao?nyama inaungwa Hadi inapoteza Radha halisi ili asibambwe
2.Wanaongoza kwa unafiki,hata Kama hampendi mume atajifanya anampenda anamnyenyekea kumbe mnafiki ndio maana waanachika kila baada ya miezi 3
3.Wanaongoza kwa kwenda kwa mpalange
4.Wanaongoza kwa kuolewa na kuachika!mtu mmoja unaolewa mpaka Mara Saba eti chuo Cha Saba jamaniii sio kweli.
Wakristo tuna madhaifu yetu Ila hao waislam sio Bora kutuzidi,wamelazimika kuwa submissive kutokana na matunzo Yao ya kitaleban.
Huwezi kujijua kasoro zako, walivyo wanawake wakikristo na wanaume wakristo wapo hivyo hivyo ndiyo maana hata nyie mnakimbiwa, wazee wa mnyazimungu wanawazidi mbali sana kwa care wanawake.Muwe mnakubali kukosolewa inaweza kuwasaidia, nami nakiri kwamba nyie mna matatizo mengi, nafuu wanawake wa kiislamu
Ukweli upi? Mwanaume analelewa na mwanamke wapi sema hivi wanaume wakristo wanapenda kunyenyekewa wakati wao hawajui kujaliBora uwaambie ukweli
Eti wasafi wakati wanavaa dela chuku chukuKama hao wanawake wa kiislam ndio hawa Majirani zangu wavaa madera hapa...Ni afadhali nikutane na mpagani...
Nje ya mada Naishi eneo ambalo 99% ni Muslim....
Inawezekana kuna kitu kinakuvutia kwa hao wanaume wa kiislamu na hutaki kuwa wazi, mimi sijakimbiwa labda kama unawasema wengine, nasisitiza wanawake wa kiislamu wana sifa za kuwa mke tofauti na wakristo, mleta mada alisema, wanawake wa kiislamu wanajua kutambua thamani ya mume na wanajistahi kuliko nyie wakristo, ndoa nyingi za kikristo watu wanaishi mradi twende, wanakuwa wameshakerana ila hawana jinsi na kinachowapa kiburi ni kwasababu wanajua hawawezi kuachika, ndio za kikristo huwa hazivunjwiHuwezi kujijua kasoro zako, walivyo wanawake wakikristo na wanaume wakristo wapo hivyo hivyo ndiyo maana hata nyie mnakimbiwa, wazee wa mnyazimungu wanawazidi mbali sana kwa care wanawake.