Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Jitahidi muwe na mahaba na wapenzi wenu au Mume Zenu ili umpunguze kulalamika kuchitiwa kuna wanawake wengine wanajua kutunza watu wao vizuri mpaka kuna wakati unajihisi upo dunia tofauti
Wameoa wa4 wa4 weeee, wameona haijasaidia kitu.sasa wameamua kuwafanyia promo angalau wapungue pungue mtaani. Si mnasemaga kila mtoto anazaliwa na riziki yake? Sasa mnalia lia nini?. Waoweni hao wenu wanaojua mahaba, hawa wetu wasiojua tuachieni wenyewe.
 
Oweni hao wenu wanaojua mahaba, hawa wetu wasiojua tuachieni wenyewe.
Oweni hawa wetu wanaojua mahaba ,wale wao wasiojua mahaba tuwaachie wenyewe. Promo ikizidi sana tutaharibu mpango wetu wa siri tunaoendelea nao.
 
Hapa hatupo kwenye ushindani wa kidini ila nimeleta hii mada ili tuijadili kuhusu swali langu la msingi nililouliza mdau na wewe ungetoa Maoni yako kuliko kuhusu vitu ambavyo havipo mbona mada imejieleza vizuri inakuaje wewe unashindwa kuielewa?
 
Bahati mbaya unakutana na malaya ndo matokeo yake.
Pili nawe Mungu alisema atakupatia wakufanana nae sasa wewe umejihusisha na mahusiano 8 na hujaoa sasa unapatiwa wanaofanana nawe. Soma biblia vizuri mkuu
 
Mzinifu tuu huyu asilete stori zake za nyan kula mahindi. Wanawake nane na hajaoa hata mmoja
 
Hapa hatupo kwenye ushindani wa kidini ila nimeleta hii mada ili tuijadili kuhusu swali langu la msingi nililouliza mdau na wewe ungetoa Maoni yako kuliko kuhusu vitu ambavyo havipo mbona mada imejieleza vizuri inakuaje wewe unashindwa kuielewa?
Kuelewa kitu gani?? Wewe ndiye uliyedate na hao 8. Uzuri ubaya uliyeuona ni wewe. Kwa nini kutaja dini za watu kwenye uzinzi wako? Ungemchagua anayekufaa na kuendelea naye kimya kimya kingeharibika nini? Tafakari chukua hatua.
 
Kwa hiyo hakuna wanawake wa Kisilamu waliobandika kucha za bandia?
 
Waislam mafundisho Yao yamewapa nafasi ya uongozi wanaume na kuheshimika. Hivyo Mwanaume kwenye Uislam ni mtu wa thamani haijalishi mkubwa au mdogo. Hata mirathi Mwanaume anapata kingi kuliko mwanamke. Hakuna 50/50. Kwa wakristu 50/50 ambapo jeuri viburi hawana unyenyekevu kabisa.
 
Ondoa huu ujinga kichwani mwako haraka sana kabla hujaja kujiua. Wasaliti wengi kwenye ndoa si ni hawa hawa kina Maimuna au ulikuwa hujuwi hili? Wanajifanya wapole na wana mapenzi ya ukweli ukiondoka tu wenzako wanakuja kulala kwenye kitanda chako huku wakichafua shuka zako.
 
Umesahau pia, wanaachika sana
Kuachika its part n parcel ya ndoa ya kiislamu...Milango iko wazi zaidi endapo mke atakuwa mkaidi na mkosa adabu tofauti na nyie wa bwana yesu asifiwe. Nyie kuachwa ni ngumu na ndio maana inawafanya wengi kuwa na jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…