Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

Dah ni hatari sana kwa kweli, majuzi tu nilikoswa koswa kugongwa na gari maeneo ya Magomeni , wanatuvuruga akili kwa kweli
Mzeya na experience yako yote bado unataka kugongwa kisa wezere
 
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Mchina hajawahi kushindwa ki2 labda kufufua mtu.
 
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Sheikh Kipozeo anapatikana mitaa hiyohiyo check nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…